I'm back again..., Ummu kulthum na Eliah G Kamwela nawahitaji hapa.

Mie utanisamehe....nimeugawa moyo wangu vipande vipande na kila anipendae anapata share yake....we gangamala tu

Kaka we we ruksa hata wake wa nne lakini mimi no way. Slave come this way pulizi
 
Last edited by a moderator:
Dada haya mambo ya kumuita Slave mbele yangu sijayapenda......anyways....ngoja nihame kiwanja

Nyambaf dogo, wewe si unajisifia ni kidume cha mbegu kutwa kuwarukia dada za wenzio, tulia upate mashemeji wewe... teh teh teh.., nilikuwa sijui kumbe nguruwe kwa mchungu kwa mkuki binadamu eeh..!!??
 
Last edited by a moderator:
Nyambaf dogo, wewe si unajisifia ni kidume cha mbegu kutwa kuwarukia dada za wenzio, tulia upate mashemeji wewe... teh teh teh.., nilikuwa sijui kumbe nguruwe kwa mchungu kwa mkuki binadamu eeh..!!??

Mie mbona sijamdandia mtu Baba V.....acha kunichafua...
Hivi wajua dada yangu kaolewa?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…