Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
akha staki mie,kila siku we kulewa na vipigo juu looo,nimepata mstaarabu mwenzangu!wasalimie wanangu pusi na paku!waambie nawamis sana
Kelewuiiiiiii...... apa ruwa..........
hahahahaaaaaaaa
cc Paw
in case hana taarifa
:confused2:Taarifa anayo....ndio maana haonekani kipande hii
Kufa sifi aisee ingawa ekspiriens ndo naipata.., ukijiskia kuongea na mimi we NIDIP tu
Nimehamia kwa King'asti kwasasa.....inaonekana nitadumu nae zaidi
:confused2:
:confused2::confused2:
:A S 100:
copy: baba v
Umm Kulthum captivates Misri. Moslem brotherhood love Umm Kulthum. Umm Kulthum rides lines effortlessly like Billie Holliday. Ohh i love Umm.
Mr Rocky unaandikia habari kwenye gazeti gani? Au chombo gani cha habari? Maana sikuelewi, mbona roho juu jamani? Baba V wa watu ndo katoka jela, hata kumsubiri apumue lol......Unafanyia kazi Aljazera?Baba V karibu tena aise. Duh na wewe BAN zimezidi bana mwenyekiti gani kila siku yuko jela. Kule hakukufai tushakuambia aise
Hivi una taarifa za kuanza kwa mahusiano kati ya KOKUTONA na Vin Diesel
Hebu nusa nusa usikie habari zao
Na za kwangu na Mamndenyi japo nampooza machungu tuu huku kujijini sio mengine
Sasa ivi wameshanifahamu, wakiniletea za bodaboda mi nawarukia na baiskeli, jela kwenyewe nishakuwa mzoefu, ni kunyooka nao tu
Misri ndo Egypt au...!?? afu tell your ummu kulthum to kdp to herself, tell her that I'm a married man,, her mudslings over me won't impact her with any good...!!,