Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shikamoo Bibi FF!
Kumbe Dr. ni mzee mwenzako sasa kwa nini huwa unamshambulia na kumdhalilisha bila sababu? Unatufundisha nini wajukuu?
Kuna tofauti dhahiri kwenye J na K kwenye hii sahihi ya 1973 na hizo zinazodaiwa ni za 1964. Kama zimeghushiwa, angetafutwa mtaalamu anayeweza kughushi vyema zaidi.Hii ni sahihi yake ya mwaka 1973.
Huna uwezo wa kutambua kitu kilichoghushiwa kama hujawahi kuona kitu halisi kinafananaje.
Suala la Sahihi za Mwl kupishana hata kwenye Hati mbalimbali ambazo Mwl alisaini ukichunguza utakuta tofauti kidogo. Chukua Peni na Karatasi then weka saini zisizopungua Tano halafu zichunguze kwa umakini utakuta kuna Slight difference na Ndio maana wataalamu wa saini wakifanya uchunguzi wa Sahihi hawa base kwenye Mikunjo ya Herufi bali Mgandamizo wa Mtu anae saini
Watu wa Bank mara nyingi sana huingia kwenye Mizozo na Wateja kwa kulazimisha Sahihi za wateja zifanane na zilizopo kwenye Data base yao kwa 100% kitu ambacho ni kigumu hata wao wenyewe wakiambiwa warudie.
Kila jina la Mpendwa wetu Baba wa Taifa litajwapo kuna watu roho huwapwita kwa khusda!
Sasa siye tutajuaje sahihi halisi ya Kambarage? Kwa faida gani?
Ipi ni saini yake ya kweli ???![]()
Mbona simple tuu
Mtoto wake yupo hapaaa jf aulizwe tuu
Eti @yerrico nyerere
Zote Orijino. Moja kabla moja baada.
Na ndiyo ile ya pili aliyopst Mwiba. Ya kwanza ya Mwiba ni ya kugushi!!! Hiki Chama kinaendesha serikali kwa kughushighushi tu ndiyo maana tunazidi kudidimia tu
Mpendwa kwako si mpendwa kwa wengine. Kama vile ilivyo kwa Kikwete, mpendwa wetu lakini wengine humu wana husda nae za wazi wazi tena ukilinganisha kwa miaka 24 ya Nyerere madarakani hajafanya hata 10% ya aliyoyafanya Kikwete kwa Tanzania kwa miaka 8 tu.
Ndugu yangu usitake kulifanya swala la Nyerere kuwa tofauti na hali nyengine. Ni mara ngapi wameeitwa wataalamu wa maandishi kuthibitisha sahihi kwa hivyo haiwezi kuwa tofauti na kesi hii. Iwapo kuna utata basi ufanyike uchunguzi au wewe kama wewe huamini kuwa watu hughushi sahihi?
Hata me najiuliza sasa sign inafaida gan kwa sasa kwa mtu aliyefariki? mbona naona ni ujinga tu......