Image ya saini ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Image ya saini ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Mwalimu alikuwa natumia vinywaji vikali usitegemee saini zake zikafanana. Hatujawatuma wabunge kujadili saini za Mwalimu, wanatupotezea muda.
 
Hata me najiuliza sasa sign inafaida gan kwa sasa kwa mtu aliyefariki? mbona naona ni ujinga tu......
 
Hii ni sahihi yake ya mwaka 1973.
Kuna tofauti dhahiri kwenye J na K kwenye hii sahihi ya 1973 na hizo zinazodaiwa ni za 1964. Kama zimeghushiwa, angetafutwa mtaalamu anayeweza kughushi vyema zaidi.
 
Huna uwezo wa kutambua kitu kilichoghushiwa kama hujawahi kuona kitu halisi kinafananaje.

Suala la Sahihi za Mwl kupishana hata kwenye Hati mbalimbali ambazo Mwl alisaini ukichunguza utakuta tofauti kidogo. Chukua Peni na Karatasi then weka saini zisizopungua Tano halafu zichunguze kwa umakini utakuta kuna Slight difference na Ndio maana wataalamu wa saini wakifanya uchunguzi wa Sahihi hawa base kwenye Mikunjo ya Herufi bali Mgandamizo wa Mtu anae saini

Watu wa Bank mara nyingi sana huingia kwenye Mizozo na Wateja kwa kulazimisha Sahihi za wateja zifanane na zilizopo kwenye Data base yao kwa 100% kitu ambacho ni kigumu hata wao wenyewe wakiambiwa warudie.

Umeisha sema slight difference.Lakini hizo sahihi zina makosa ya kimsingi kabisa.Kwa mfano angalia hiyo K.Huwezi kuniambia mtu msomi anaweza kutumia hiyo K ya kujifunzia mwandiko.Huwa nachukia watu wanaojaribu kupotosha wengine as if hawana akili.Sisi wote tuna sahihi na huwa kiukweli inaweza badilika lakini si kwa kiwango hiki.

Mwingine amedai kwa sababu wakati huo alikua anatumia mashine.sasa utajiuliza ,kila siku alikua anabadilisha mashine au?
 
miccm bana.. ata kugushi hawajui.. sahihi ya kwanza ni ya kijinga..mwalimu awezi kusaini hivo
 
Kila jina la Mpendwa wetu Baba wa Taifa litajwapo kuna watu roho huwapwita kwa khusda!

Mpendwa kwako si mpendwa kwa wengine. Kama vile ilivyo kwa Kikwete, mpendwa wetu lakini wengine humu wana husda nae za wazi wazi tena ukilinganisha kwa miaka 24 ya Nyerere madarakani hajafanya hata 10% ya aliyoyafanya Kikwete kwa Tanzania kwa miaka 8 tu.
 
utahanaika kuitafuta sahihi iliyo sawa wakati walioanzisha hoja wanajua fika kwamba hati haipo tanzania. HIYO NDIYO HOJA KUU.
saini-564x272.jpg
Ipi ni saini yake ya kweli ???
 
Mpendwa kwako si mpendwa kwa wengine. Kama vile ilivyo kwa Kikwete, mpendwa wetu lakini wengine humu wana husda nae za wazi wazi tena ukilinganisha kwa miaka 24 ya Nyerere madarakani hajafanya hata 10% ya aliyoyafanya Kikwete kwa Tanzania kwa miaka 8 tu.

Mkuu FaizaFoxy hebu tuorodheshee hata moja la kimaendeleo kwa watu (human development) ili ku justify andiko lako hapa!!!
 
Umenena mwana. Hii miji2 haijui kula na kipofu. Sa,kma wanazani mas,ala wapitishe huo utumbo wao wakione cha moto. 2tatembea uchi mchana kweupe tuwaachie razi wapate kuweuka wote.
 
Ndugu yangu usitake kulifanya swala la Nyerere kuwa tofauti na hali nyengine. Ni mara ngapi wameeitwa wataalamu wa maandishi kuthibitisha sahihi kwa hivyo haiwezi kuwa tofauti na kesi hii. Iwapo kuna utata basi ufanyike uchunguzi au wewe kama wewe huamini kuwa watu hughushi sahihi?

Nyongeza ni kuwa tatizo la hizo sahihi ni herufi kuongezwa kwa kuchapisha na si kutofautiana kwa handwriting,Mbona tunajenga utamaduni wa kukwepa ukweli kwa kila jambo?Wanaosema ziko sawa tujadili content,validity ya content inatoka wapi iwapo itagundulika kuna forgery!kwa nini watu wapoteze muda halafu baada ya miaka 2 tuambiwe kilichojadiliwa ni kingine original itolewe?Ni hayo tu.
 
ngoja tumwite aje asaini mwenyewe tupate ukweli
 
Hata me najiuliza sasa sign inafaida gan kwa sasa kwa mtu aliyefariki? mbona naona ni ujinga tu......

kwa miujinga yako unadhani watu wanataka sahihi,ishu hapo ni validity ya docs pamoja na contents zake,kukata mzizi wa fitna leteni docs original
 
Back
Top Bottom