Imagine huyu ni Polisi na huyu ni Raia

Huu uhuni utaamsha hasira za vijana na polisi. Ikisambaa itakuwa kuviziana mtaani.

Halafu vijana wanaweza kutengeneza lugha zao za mawasioiano hajui.
 
Kina Diamond platnumz wako wapi jamani kukemea haya ila ilivotokea marekani alikemea justice for nn sijui hapa kimyaa afu tuzo zikija apigiwe kura aisee
 
Hivi tuna jeshi la polisi au tuna takataka?
Tz tuna Aina nyingi za takataka nyingine ni zile zinajificha nyuma ya keyboard na kuita wenzao takataka Generally hizo zote ni takataka
 
Kwa uzushi huu na kupindisha ukweli mnataka muungwe mkono na kundi la wananchi!!!never ever ndugu zangu.

Hii picha tofauti na mnavyofikiri inawapa mileage kisiasa inazidi kuwavua nguo,kwamba nyinyi ni watu mnaopenda kukuza mambo,ili kuzua taharuki.

Hatushangai maana ndio msingi wa chama umejengwa huko,kwenye mizuka na mikurupuko.
 
Ila sishangai kwa mapolisi yetu... Pengine hata hayajui katiba ni Nini.
Polisi ni cheap labors tu you train them to kill with a little wage. Kwa mfano huyu, utaniambia anafikishaa hata 1m kwenye salary slip yake kweli? Ukute hata house rent inamshinda

 
Kati ya hao wawili ni nani anavuruga amani?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Safi Nahis umegundua kitu Mkuu pia Anaetaka kuvuruga amani kwa kuwatumia Vijana wasio na hatia lazm adhibitiwe ipasavyo,,, ila acheni propaganda zenu za ajabu et " kamkanyaga shingoni" iyo picha no Kama ya kuvizia kabisa na inaonekana yote kw yote wananchi tudai haki kwa njia zinazofaa tusiharibu amani ya nchi pia mitandao ya kijamii itumike vizuri sio kupanda chuki kiasi icho maan ipo siku iyo chuki itaota na kunawiri.
 
Aisee mbona mnakuza sana mambo?
Huo mguu umemkanyaga huyo dogo kweli?
Hivi unajua maana ya kukanyaga wewe?
Kati ya mguu na shingo ya huyo bwana kipi kipo juu ya kingine?
 
So alikuwa kamwekea mto Ili asiumie chini
 
Ulitaka amkumbatie na ambusu eti?

Kamsaidie hadharani unajuaje kuwa polisi amekuelewa?

Mvunja nchi ni mwananchi
 
Polisi ni cheap labors tu you train them to kill with a little wage. Kwa mfano huyu, utaniambia anafikishaa hata 1m kwenye salary slip yake kweli? Ukute hata house rent inamshinda

View attachment 1891622
Kuna kipindi tulikuwa tunawaita mbwa wa CCM...

Mbwa akitupiwa kipande cha mfupa (SI NYAMA!!!) then akaambiwa kamata, atakimbiza kuliko hata mwenye mbwa aliyekula nyama na kumtupia mfupa!
Polisi ni cheap labors tu you train them to kill with a little wage. Kwa mfano huyu, utaniambia anafikishaa hata 1m kwenye salary slip yake kweli? Ukute hata house rent inamshinda

View attachment 1891622
Polisi ni cheap labors tu you train them to kill with a little wage. Kwa mfano huyu, utaniambia anafikishaa hata 1m kwenye salary slip yake kweli? Ukute hata house rent inamshinda

View attachment 1891622
 
Si ajabu hajui familia yake jioni wanakula nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…