Imamu aliyerukiwa na paka mabegani akiswalisha apewa tuzo

Kajisomee mambo ya Walawi: 11:7-8,

7. Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.

8. Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao, hao ni najisi kwenu.
Unaambiwa hao Lawi ndio walikua Makuhani wakuu Ila Cha ajabu walikua watenda dhambi wakuu pamoja kutunga sheria km hizo hadi pale Yesu alipotambulika kua yeye ndie Kuhani mkuu asiemtenda dhambi baada ya Pazia la Hekalu lenye urefu wa futi 60 na lenye uzito wa kubebwa na watu zaidi ya 300 kupasikia Kati kwa Kati

Kwa hio walawi nao walikua na mapungufu yao mengi ukiondoa kuwakataza watu wasile kitimoto wenyewe walikua wanakula
 
Ila nyama ya Nguruwe πŸ– ukiwa njaa ya kufa kwa mujibu wa Mtume Mohammed S.W.W kwamba Mnyaazi Mungu Subhana wa Tahara ameruhusu ili usife km ipo Nguruwe Basi kula funyango 3/4/5 ili usife na upate kuishi

Sasa je! Mwislamu Kumla Nguruwe πŸ– pindi una njaa ya kufa inaswihi na anakua sio najisi Ila kuguswa nae wakati umeshiba ni najisi na ni haramu ?
 
Unafiki tu. Unampenda paka unamchukia mkristo. Sasa ndo nini
 
Yule Paka ni wa hapo Msikitini.

Imamu ni wahapohapo Msikitin.

Paka na Imamu washakua Washikaji wa siku nyiiiiiingi.

Ila kwakua mwapenda muonekane, mtaanza sema ni Malaika🀣🀣🀣.



Sasa mlitaka Imamu amfukuze mshikaji wake? Au mlitaka Imamu akatishe swala kisa paka ambaye ni Mshikaji wake??.



DUNIA NZIMA,ITAPIGA MAGOTI KUMUABUDU YESU KRISTO, MWAMBA, ALIYEKUBALI KUTESWA, KUDHALILISHWA NA KUFA, KWA AJILI YA WANADAMU WOTE DUNIANI, YEYE NDIE NJIA NA LANGO PEKEE KUIFIKIA MBINGU.
 
Uislamu unazingatia huruma na upendo kwa wanyama, vipi angeingia nguruwe pale angepewa tuzo ya ukimbiaji boraπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tunaisubiri kitimoto naye aende kujichumia mathawabu na yeye kama huyo paka naye apate headline za duniani na peponi, kwani yeye hapendi Jahna tul Firdausi?
Firdausi kama firdausi
 
Ila kwakua mwapenda muonekane, mtaanza sema ni Malaika🀣🀣🀣.



Sasa mlitaka Imamu amfukuze mshikaji wake? Au mlitaka Imamu akatishe swala kisa paka ambaye ni Mshikaji wake??.
Daaa we jamaa mkorofi.

Kwema lakini?
 
Tunaisubiri kitimoto naye aende kujichumia mathawabu na yeye kama huyo paka naye apate headline za duniani na peponi, kwani yeye hapendi Jahna tul Firdausi?
Ahahaha kiti moto jahna tul Firdaus ataisikia tu kwenye bomba
 


Tuzo ya nini??-- ni ujinga mtupu huo.

Swala inahitaji mazingatio na ndio maana mtu anaposwali haitakiwi pembeni yake kuwepo na karaha ya aina yoyote, mfano kelele za watoto, radio nk, hiyo yote ni kumfanya anayeswali azingatie swala yake, sasa kwa kitendo cha huyo paka kumrukia huyo Sheikh ni kiraha na hivyo bila shaka katika kipindi hicho kwa tabia na sifa za binadamu huyo sheikh alikosa mazingatio katika hiyo swala, kilichotakiwa ilikuwa ni kumuondoa kwanza na halafu swala iendelee, hicho ndicho kilichotakiwa na si vinginevyo.

Wahenga husema; "ukicheza na mbwa atakufuata hadi msikitini" yawezekana huyo sheikh alipenda kucheza na huyo paka.
 
Kitimoto hakina huo mdaπŸ˜‚

Kwanza chenyewe hakina uthubutu wa kuingia Msikitini.


Halafu kinavyotoa harufu!!, Siku moja kitimoto kilitoroka kwao kikaja karibu na nyumbani ilkuwa majira ya saa 11 alfajiri, nipo chumbani nikaaaza kuhisi harufu kali na mbaya nikajiuliza inatoka wapi harufu hiyo, mara nikasika mlio wa "grunting" (mlio anatoa nguruwe anapokula), mara nilipochungulia nje asalaleee!! nikaliona bonge la kitimoto linachakua jalalani kwetu, nililitoa balu, huku njia nzima likiacha harufu mbaya na kali sana, sijui hao wanaokula hilo dudu najisi wanalipendea nini??!🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…