Imamu aliyerukiwa na paka mabegani akiswalisha apewa tuzo

Imamu aliyerukiwa na paka mabegani akiswalisha apewa tuzo

Halafu kinavyotoa harufu!!, Siku moja kitimoto kilitoroka kwao kikaja karibu na nyumbani ilkuwa majira ya saa 11 alfajiri, nipo chumbani nikaaaza kuhisi harufu kali na mbaya nikajiuliza inatoka wapi harufu hiyo, mara nikasika mlio wa "grunting" (mlio anatoa nguruwe anapokula), mara nilipochungulia nje asalaleee!! nikaliona bonge la kitimoto linachakua jalalani kwetu, nililitoa balu, huku njia nzima liacha harufu mbaya na kali sana, sijui hao wanaokula hilo dudu najisi wanalipendea nini??!🤣🤣
Likikaushwa halinuki😜
 
Angekua Nguruwe 🐖 kamtulia mabegani je! imamu angepewa tuzo ya kujali wanyama au angeitwa Kafiri?
Umekosea sana, Uislamu haumaanishi kwamba mnyama aliyeharamishwa kuliwa kwa waislamu wamchukie hapana hapana

Mapenzi ya waislamu kwa wanyama yanabaki pale pale, hata huyo cat haliwi lakini mapenzi aliyoonyeshwa ni sawa na kwa wanyama wote
 
Umekosea sana, Uislamu haumaanishi kwamba mnyama aliyeharamishwa kuliwa kwa waislamu wamchukie hapana hapana

Mapenzi ya waislamu kwa wanyama yanabaki pale pale, hata huyo cat haliwi lakini mapenzi aliyoonyeshwa ni sawa na kwa wanyama wote
Hakuna niliposema wanachukia Nguruwe 🐖 km kupo onyesha,
 
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
 
Kuna clip naitafuta ya nyani a anaingia kwenye jumba la mabudha na kuanza kula nao msosi
 
Unaambiwa hao Lawi ndio walikua Makuhani wakuu Ila Cha ajabu walikua watenda dhambi wakuu pamoja kutunga sheria km hizo hadi pale Yesu alipotambulika kua yeye ndie Kuhani mkuu asiemtenda dhambi baada ya Pazia la Hekalu lenye urefu wa futi 60 na lenye uzito wa kubebwa na watu zaidi ya 300 kupasikia Kati kwa Kati

Kwa hio walawi nao walikua na mapungufu yao mengi ukiondoa kuwakataza watu wasile kitimoto wenyewe walikua wanakula
Kwa hiyo unataka kusema Bible ina mapungufu [emoji15]
Na mkiwa mnakwoti maandiko ya Mashoga na Wasagaji kuuwawa mbona hua mnachukua mistari ya hao hao wakina Walawi? [emoji2296]

Tushike lipi sasa je kurasa za Walawi kwenye Bible zichomolewe?
 
Sasa kama ni paka wake ashtuke ya kazi gani? Au ndio vile vinyago tulivyochonga wenyewe halafu vitutishe?
 
Ila nyama ya Nguruwe [emoji241] ukiwa njaa ya kufa kwa mujibu wa Mtume Mohammed S.W.W kwamba Mnyaazi Mungu Subhana wa Tahara ameruhusu ili usife km ipo Nguruwe Basi kula funyango 3/4/5 ili usife na upate kuishi

Sasa je! Mwislamu Kumla Nguruwe [emoji241] pindi una njaa ya kufa inaswihi na anakua sio najisi Ila kuguswa nae wakati umeshiba ni najisi na ni haramu ?
Naam,
Kwa mujibu wa maandiko na ufafanuzi upo,
Huenda umekwama porini umeishiwa chakula na bado hujajua njia ya kutoka basi kama kuna Nguruwe amekatiza chinja, choma kula kiasi usife kwa njaa ili uendelee na mapambano ya kujinasua, na sio Nguruwe tu hata wanyama wengine ambao walikatazwa unaweza ukala kwa hiyo dharura,

Sio upo zako home umehisi njaa unaagiza nyama yake unakula kwa ugali unashushia na maji baridi halafu useme ni hayo maandiko hapana umekula najisi.
 
Back
Top Bottom