Imamu aliyerukiwa na paka mabegani akiswalisha apewa tuzo

Imamu aliyerukiwa na paka mabegani akiswalisha apewa tuzo

Kajisomee mambo ya Walawi: 11:7-8,

7. Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.

8. Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao, hao ni najisi kwenu.
Sasa jwani wewe ni mlawi?
 
Hizi sasa ndio Akili za Mtanzania halisi,
Halafu tunataka Mabeberu wasiendelee kutoa misaada eti tunajiweza wenyewe, thubutuuuu
Dokta umewahi kumfuga Paka mkazoeana kiasi cha kulinyea Kochi lako unalolipenda ? Paka hataki kunya nje anakunywa ndani tu
 
Dokta umewahi kumfuga Paka mkazoeana kiasi cha kulinyea Kochi lako unalolipenda ? Paka hataki kunya nje anakunywa ndani tu
Yaani tunaweza kukaa siku nzima tunamuongelea Paka, hakuna Mnyama ninayempenda kama Paka,
Nimeishi nao tangu mdogo nawajua vema tabia zao na kila kitu chao,

Wewe unasema kochi, anaweza akaenda stoo akanyea kwenye ndoo ya unga halafu anafukia vizuuuri [emoji23]

Ni wewe owner wake unamuelekezaje
 
Masha-allah

Huu ufafanuzi nimeupende yaan umeongea kwa sauti ya Mufti Abubakari Zuberi vizuri sana Dokta kwa kufafanua vizuri, Ila sio porini tu hata huku uraiani ukibanwa njaa ya kufa na kuna funyango za Nguruwe [emoji241] mezani kula 4/5 kukata njaa ya kufa ili usife inaswihi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
We umenena halafu eti hajashituka hata kidogo kiufupi wanafahamiana ni vile tu waislamu ni watu wa promo sana.
Kwani walisema hawafahamiani? Wapi kwenye video imeongelewa uhusiano wa Paka na Imam?

Kilichowavutia watu ulimwengu mzima (maana video imekua viral world wide hadi vyombo vya habari duniani vimeripoti)
1. ni kile kitendo cha Paka kwenda kwa Imam na kumdandia,

2. Imam kutokupumbazwa na kitendo kile badala yake aliendelea kusoma huku kamshikilia Paka asidondoke hadi Paka alipokaa vizuri,

3. Kilichovutia zaidi ni Paka kumbusu mdomoni kisha kushuka na kwenda zake kabla Imam haja rukuu (ku bow),

It's all about Humanity, be positive [emoji173]
 
Back
Top Bottom