Imamu aliyerukiwa na paka mabegani akiswalisha apewa tuzo

Ila likija suala la ushoga na usagaji mnakwoti hao hao Walawi [emoji38]

Mtanzania huwezi kumtenganisha na Unafki
Tuna quote the Penal Code Cap 16, hii ni sheria ya Tanzania inayokataza wewe usiingiliwe kinyume na maumbile
 
Hawa ndugu zetu katika imani huwa wanapenda sana petty issues.

Sasa hii nayo ni issue ya kupewa tuzo.?!!
Petty issue iliyoenda Viral Duniani,
Vyombo vikubwa vya Habari Duniani vimeripoti,

It's all about humanity[emoji173], be positive
 
Paka nimewahi fuga aisee alikua anafunua chungu anaondoka na Samaki, πŸ˜† namjua Paka vizuri nmefuga sana
 
Paka nimewahi fuga aisee alikua anafunua chungu anaondoka na Samaki, [emoji38] namjua Paka vizuri nmefuga sana
Ulimfuga kienyeji ndio kosa lako,
Paka kama unampa msosi wa uhakika hawezi kuiba, weka ratiba ya chakula sababu Paka anakula hadi mara 5 kwa siku, usimpe nyama mbichi unamfundisha wizi,

Paka wa nyumbani alikua analinda Nyama Kunguru wasidokoe hakuwahi kuiba hata siku moja.
 
Sisi tunawaacha paka wanakunya kwenye unga tuzo zetu tunaenda kuzichukua wapi?
 
Paka nimewahi fuga aisee alikua anafunua chungu anaondoka na Samaki, πŸ˜† namjua Paka vizuri nmefuga sana
Ulikua unafuga mtu kidokozi kwenye taswira ya Paka,haiwezekani paka kufunua mfuniko wa chungu(mzito)πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Sawa Dokta basi yaweza kua nilikosea hio formula yaan alikua anapenda Samaki na akisikia harufu hakai mbali ole wako usimpe atafunua atachukua, πŸ˜†
 
Paka mtu aliemzoea siku zote humfuata na kulala miguuni mwake, yaan hivyo akiona vipi anakupandia anakulalia umpakate ni hivyo yaan wanapenda kustarehe sana πŸ˜† Paka hamfuati mtu ambae hajamzoea au mtu ambae hana mazoea nae kamwe hamfuati na atamkimbia tu na kukaa nae mbali sana
 
Anafunua chungu? Huyo paka itakua alikua anafanya mazoezi ya kunyanyua vyuma kimya kimya πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Si anausukuma mfuniko tu ukianguka anachukua Samaki anaondoka nae anaenda kumla mkija kuangalia mnaona chungu Kiko wazi Paka kaondoka na Samaki, πŸ˜†
 
Paka Kajua Ni Wakati wa Sujuud Akashuka Chini,Mashallah Mashallah

Umeona Paka alivyo huyu kamzoea Imam Paka mtu ambae hana mazoea nae hamrukii hivi, ni km ngedere tu ukiondoa wale wanaofuga mbwa Mimi mbwa sipendi, ukimzoea anakuparamia mda wote Ila km hujamzoea anacheza mbali nawe
 
Kwa hiyo we ishu yako na kitimoto ni hiyo harufu au kuna kingine?

Ukihakikishiwa kwamba anaweza kupikwa akanukia bila kuacha hiyo harufu usioipenda, utamla?

Basi acha kumdis
 
Wakina msalaba wanasema heti huyo paka ni jini[emoji14][emoji14][emoji14]
 
Kwa situation hiyo manake hata Mungu mwenyewe anajiongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…