Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Kumbe hadi mnaopenda mapenzi ya jinsia moja mna diniIle clip niliipenda sana nikaipost whatsapp kila mtu akaiomba na wengine kurepost,
Kibongo bongo yule Paka angeitwa mchawi na hata kusindikizwa na teke la utosi, 🥲
Btw, Surah ambayo Imam alikua anaisoma hadi yule beautiful Paka kumdandia ni Surat al An'am (The Cattle) ayah 148-149
Kwa hiyo we ishu yako na kitimoto ni hiyo harufu au kuna kingine?
Ukihakikishiwa kwamba anaweza kupikwa akanukia bila kuacha hiyo harufu usioipenda, utamla?
Basi acha kumdis
Zimefanyaje?Vipi kuhusu kwato zile
Sasa hapo Kuna muujiza gani? Miujiza ipo kwa mwamposa na wagalatia wasio na akili ambao wamerogwaMnapenda miujiza ila basi tu hamuipati[emoji1787]
Nilikuwaga na paka wangu mmojaAnafunua chungu? Huyo paka itakua alikua anafanya mazoezi ya kunyanyua vyuma kimya kimya [emoji28][emoji28][emoji28]
ndiyo haooo mumeanza tenaAngekua Nguruwe 🐖 kamtulia mabegani je! imamu angepewa tuzo ya kujali wanyama au angeitwa Kafiri?
Mungu amekataza kula kitimoto kwasababu ya harufu mbaya?Sili kitimoto sababu Mungu kakataza kula, juu ya sababu hiyo kuna sababu zilizokuwa conspicuous kama hiyo harufu yake mbaya zaidi ya kinyesi cha binadam.
Mambo ya walawi kwani mimi ni m-walawi?Kajisomee mambo ya Walawi: 11:7-8,
7. Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
8. Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao, hao ni najisi kwenu.
Mungu amekataza kula kitimoto kwasababu ya harufu mbaya?
Mbona sababu ni nyepesi sana
Nimesoma, we umesoma yangu?Umesoma vyema nilichoandika??
Nimesoma, we umesoma yangu?
SioWewe sio Mmalawi?? 🤣
Ila ukibanwa na njaa amekupa ruksa kula hata kama utakuwa shoga?Umesoma "vyema"??--- Mungu kakataza kula nyama ya nguruwe kwakuwa inayo madhara mengi katika mwili wa binadamu ikiwemo kuchochea ushoga kwa watumiaji.
Harufu mbaya ya nguruwe ni added demerit ya kuchukia kula nyama yake, huyo ananuka kuliko kinyesi cha binadamu au wewe unapenda hiyo harufu yake??
Kwani hapo ni suala la kuliwa au kuingia msikitini? Kwani huyo paka aliliwa?Kajisomee mambo ya Walawi: 11:7-8,
7. Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
8. Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao, hao ni najisi kwenu.
Ile clip niliipenda sana nikaipost whatsapp kila mtu akaiomba na wengine kurepost,
Kibongo bongo yule Paka angeitwa mchawi na hata kusindikizwa na teke la utosi, 🥲
Btw, Surah ambayo Imam alikua anaisoma hadi yule beautiful Paka kumdandia ni Surat al An'am (The Cattle) ayah 148-149