Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Kumbe hadi mnaopenda mapenzi ya jinsia moja mna diniIle clip niliipenda sana nikaipost whatsapp kila mtu akaiomba na wengine kurepost,
Kibongo bongo yule Paka angeitwa mchawi na hata kusindikizwa na teke la utosi, š„²
Btw, Surah ambayo Imam alikua anaisoma hadi yule beautiful Paka kumdandia ni Surat al An'am (The Cattle) ayah 148-149