Imamu aliyerukiwa na paka mabegani akiswalisha apewa tuzo

Ile clip niliipenda sana nikaipost whatsapp kila mtu akaiomba na wengine kurepost,

Kibongo bongo yule Paka angeitwa mchawi na hata kusindikizwa na teke la utosi, 🄲

Btw, Surah ambayo Imam alikua anaisoma hadi yule beautiful Paka kumdandia ni Surat al An'am (The Cattle) ayah 148-149
Kumbe hadi mnaopenda mapenzi ya jinsia moja mna dini
 
Kwa hiyo we ishu yako na kitimoto ni hiyo harufu au kuna kingine?

Ukihakikishiwa kwamba anaweza kupikwa akanukia bila kuacha hiyo harufu usioipenda, utamla?

Basi acha kumdis

Sili kitimoto sababu Mungu kakataza kula, juu ya sababu hiyo kuna sababu zilizokuwa conspicuous kama hiyo harufu yake mbaya zaidi ya kinyesi cha binadam.
 
Wanaojidai kusoma elimu dunia ndio hao hao huamini eti paka anageuka na kuwa mtu. which is which sasa

Stupid
 
Anafunua chungu? Huyo paka itakua alikua anafanya mazoezi ya kunyanyua vyuma kimya kimya [emoji28][emoji28][emoji28]
Nilikuwaga na paka wangu mmoja
Hizo zilikuwa zake,nlikuwa namuita Thomasina
Alafu sasa alikuwa ndiyo mbabe wa mapaka yote mtaani
Nyumba kama ya 3 kulikuwa na waarabu wanaishi nao walikuwa na paka zao,basi thomasina alikuwa anaenda kwao anawapa sana kipondo paka zao,nkawa naletewa sana kesi
Zake,alikuja kufaga roho iliniuma sana aise

Ova
 
Sili kitimoto sababu Mungu kakataza kula, juu ya sababu hiyo kuna sababu zilizokuwa conspicuous kama hiyo harufu yake mbaya zaidi ya kinyesi cha binadam.
Mungu amekataza kula kitimoto kwasababu ya harufu mbaya?

Mbona sababu ni nyepesi sana
 
Kajisomee mambo ya Walawi: 11:7-8,

7. Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.

8. Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao, hao ni najisi kwenu.
Mambo ya walawi kwani mimi ni m-walawi?
 
Nimesoma, we umesoma yangu?

Umesoma "vyema"??--- Mungu kakataza kula nyama ya nguruwe kwakuwa inayo madhara mengi katika mwili wa binadamu ikiwemo kuchochea ushoga kwa watumiaji.

Harufu mbaya ya nguruwe ni added demerit ya kuchukia kula nyama yake, huyo ananuka kuliko kinyesi cha binadamu au wewe unapenda hiyo harufu yake??
 
Ila ukibanwa na njaa amekupa ruksa kula hata kama utakuwa shoga?
 
Kajisomee mambo ya Walawi: 11:7-8,

7. Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
8. Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao, hao ni najisi kwenu.
Kwani hapo ni suala la kuliwa au kuingia msikitini? Kwani huyo paka aliliwa?
 
A.alaykum.Nisaidie hiyo clip pm nami niione

Back
Top Bottom