ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Huyu Pastor yupo vizuri sana amenyookaNa mimi nimeshangaa waliopekea Kakakuona kanisani akawaombee Tanesco wasiwakatie umemeView attachment 2851435
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Pastor yupo vizuri sana amenyookaNa mimi nimeshangaa waliopekea Kakakuona kanisani akawaombee Tanesco wasiwakatie umemeView attachment 2851435
Ya kweli hayo mkuu? Hayo "maajabu" yametokea wapi?Na mimi nimeshangaa waliopekea Kakakuona kanisani akawaombee Tanesco wasiwakatie umemeView attachment 2851435
😄 nimemsikiliza huyo mchungaji huwa anawaponda sana hao na anaongea kama chiriku ila ana kipaji aiseeYa kweli hayo mkuu? Hayo "maajabu" yametokea wapi?
Hana unafiki kabisa na anapiga mule muleHuyu Pastor yupo vizuri sana amenyooka
Sarakasi zake tamu sana.Utasikia kuhani miaka 1000.N.kHao ni siloam version 2. Baada ya mpasuko wakajitenga. Ile siloam ya awali ipo chini ya mke wa marehemu munuo. Hii ya sasa ya kujiita chanzo halisi ndio huyu mwamba anaisimamia .Kipindi cha eliya(munuo) huyu alikuwa akijiita elisha miaka 1000. Chanzo cha kwenda kuhiji kigoma ni kwa vile eti huyo munuo mwaka 2003 alipokea sauti ya mungu akiwa huko kigoma kikazi kama mtumishi wa tanesco. Kwa hiyo hata kuvaa white ni kwa vile wanaitwa wakamilifu au watakatifu na sio waumini kama makanisa mengine. Nna mengi ya kusema ila mdomo una maji mengi kama samaki.
nilikuwa huko mi nikatoka kundini . Maana mahubiri ya huko yanatengeneza mazingira ya kumwabudu mtu kama huyo jamaa na sio mungu!Sarakasi zake tamu sana.Utasikia kuhani miaka 1000.N.k
Kumbe pool of Siloam lilipasuka? Mi najua ni hao hao tu!!!Linaitwa Kanisa halisi la Mungu baba. Lilianzishwa baada ya mpasuko kwenye kanisa la The Pool of Siloam.
Sasa hawa kanisa halisi la Mungu baba ndio wamewazidi nguvu wale Siloam na sasa wanajulikana zaidi wao.
Mkuu endelea kutupa historiaHao ni siloam version 2. Baada ya mpasuko wakajitenga. Ile siloam ya awali ipo chini ya mke wa marehemu munuo. Hii ya sasa ya kujiita chanzo halisi ndio huyu mwamba anaisimamia .Kipindi cha eliya(munuo) huyu alikuwa akijiita elisha miaka 1000. Chanzo cha kwenda kuhiji kigoma ni kwa vile eti huyo munuo mwaka 2003 alipokea sauti ya mungu akiwa huko kigoma kikazi kama mtumishi wa tanesco. Kwa hiyo hata kuvaa white ni kwa vile wanaitwa wakamilifu au watakatifu na sio waumini kama makanisa mengine. Nna mengi ya kusema ila mdomo una maji mengi kama samaki.
Naunga mkono hoja" Religion is an opium of the masses"
Kama wanaenda ujiji ni sawa. Huko kuna njia ya kuzimuUnakaribishwa kwenda kuhiji kigoma😂😂