Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Inasikitisha sanaHizi dini zimetufanya binadamu kua wajinga,ila waafrika tumekua wajinga zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sanaHizi dini zimetufanya binadamu kua wajinga,ila waafrika tumekua wajinga zaidi.
Mchungaji wao anaitwa nani?Linaitwa Kanisa halisi la Mungu baba. Lilianzishwa baada ya mpasuko kwenye kanisa la The Pool of Siloam.
Sasa hawa kanisa halisi la Mungu baba ndio wamewazidi nguvu wale Siloam na sasa wanajulikana zaidi wao.
Arusha wapo Tanga wapo sare ni mavazi meupe pee na viatu veupeWalikuwa maeneo ya Mbezi enzi hizo, kuna jamaa yetu alijikuta anatoa uwanja wa familia yake sadaka.
Jua na mwezi kwao ni vyombo vya kutambikia
Ashukuriwe sana Yesu mwokozi wa ulimwengu kwa Kunitoa kwenye utumwa wa dini(kuabudu kisichojulikana).Hizi dini zimetufanya binadamu kua wajinga,ila waafrika tumekua wajinga zaidi.
Na ndio kazi ya dini. Usalama ni kujificha kwa Yesu tu hamna namna. Yesu ndiye Nuru ya ulimwengu. Anayemfuata hawezi kwenda gizani kamwe!Yaani dini zimetupumbaza sijawahi kuona.
Mbona bado. Ndio kwanza kumekucha jiandae kushangaa zaidi[emoji3]Leo baada ya kifurushi changu DStv kukata (mpira), nikashawishika kucheki hizi chanel za ndani, ile naweka star tv nakutana na kanisa linajiita "Chanzo halisi"
Cha kushangaza wanatumia bibilia ile ile
Wanaenda kuhiji kigoma, ndugu msomaji ni kigoma hii hii ya karibu na burundi[emoji23][emoji23]
Na huyo kiongozi leo alikua anatoa tiketi 160 kwa ajili ya kwenda kuhiji huko kigoma.
Yule aliyekua mwanamuziki wa the mafiki nayeye sasa hivi yupo sauti ya chanzo halisi.
Katika mafundisho yao sijasikia neno Mungu wala Yesu,
Kauli mbiu ni " bila chanzo halisi hutoboi"
Waumini wa sauti ya chanzo halisi wapo wamejaa kweli na mavazi yao ni meupe
Dunia ina maajabu kweli kweliView attachment 2851426
Yaani wanaomfuata Yesu hawako masikini, hawako mafukara, hawaugui magonjwa, hawafilisiki?Na ndio kazi ya dini. Usalama ni kujificha kwa Yesu tu hamna namna. Yesu ndiye Nuru ya ulimwengu. Anayemfuata hawezi kwenda gizani kamwe!