Imani kwa wanaume imekwisha

Kuna ukweli japo kidogo kwenye hii mada yangu baby wangu.

Sasa hivi hali ni mbaya sana, machoko wamekuwa wengi sana hadi wale ambao unawaheshimu na wengine uliwaona ni role model wako.

Fikiria tu watu kama R, O, A, M, B, P, H etc

Hali ni mbaya sana baby wangu ndio maana nakupenda sana wewe.

Arusha, Dar sasa hivi hakufai, vijana wanajiuza mchana kweupe bila woga wala aibu.
 
Nimekuelewa love,ila code zako zimekaba kidogo....but it's ok...tusiumize watu Kwa kuwataja
 
Ni Dar res salaam pekee ndo utaskia habari kama hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…