Imani kwa wanaume imekwisha

Imani kwa wanaume imekwisha

Kuna ukweli japo kidogo kwenye hii mada yangu baby wangu.

Sasa hivi hali ni mbaya sana, machoko wamekuwa wengi sana hadi wale ambao unawaheshimu na wengine uliwaona ni role model wako.

Fikiria tu watu kama R, O, A, M, B, P, H etc

Hali ni mbaya sana baby wangu ndio maana nakupenda sana wewe.

Arusha, Dar sasa hivi hakufai, vijana wanajiuza mchana kweupe bila woga wala aibu.
 
Nimekuelewa love,ila code zako zimekaba kidogo....but it's ok...tusiumize watu Kwa kuwataja
 
Ni masista duu nimewanyaka sehemu fulani wakijadili na kupondea....Eti hawaolewi kwa sababu wanaume wananyang'anya wanaume zao Ivo kumekuwa na uhaba wa wanaume[emoji15]....jambo lingine Eti hata picha zinazotupiwa sana mitandaoni....

Ukiona wanaume wawili picha ya pamoja afu wanajiita marafiki ujue ni wanakulana yaan wapenzi....haitoshi na mabarabarani wanaume wanaoongozana wawiliwawili au wamekaa sehemu tulivu(bar) pamoja Eti wengi wao ni wapenzi.

Nimewaza nikajisemea hii ngoma hii dunia hii amani na utulivu hakuna tena....Dunia imekuwa uwanja wa vita.[emoji26] Aisee....wanaume mnaoliwa acheni bas hizo mambo mnachafua wenzenu tafadhali
Ni Dar res salaam pekee ndo utaskia habari kama hizi
 
Back
Top Bottom