Imani kwa wanaume imekwisha

Ni kweli kabisa
 
Bwana Yesu tuhurumie na kutusamehe, ponya kizazi hichi😪
 
Ungesema hivii wanaume sikuhizi hawana muda na wanawake ningekuelewa.

Na kiukweli wanaume wameamua kutafuta furaha na starehe sehemu nyingine kiufupi wanawake Hampati ile attention mlio kuwa mmeizoea kutoka kwa wanaume.

Tatizo mlilinga sana hadi wanaume wakawa sugu wa ugwadu yaani saizi wanaume wanaweza wakakaa muda mrefu bila Kuonja mbususu na mambo yakaenda.

Na mlisahau katika haya Maisha mwanamke ndio anamuhitaji mwanaume Kipita maelezo na mwanaume huyo ndio hana muda na nyie sasa.[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Si mnataka haki sawa?

Tunapoelekea hii sheria ya kumlinda na kumtetea mwanamke itapotea, itaibuka sheria ya kumlinda na kumtetea shoga

Nadhani unaona nchi za wenzetu, mashoga wanaandamana kabisa kutetea haki zao, na serikali zao zinawalinda sana

Ndo yale maswala ya sodoma na gomora yanarudi, ambapo mwanaume shoga atakuwa na thamani kubwa sana kuliko mwanamke.

New world order!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona eeh!! Wanawake wanakosa attention kwa sasa
 
Wanawake wajinga sasa ,mwaka Jana nilikuwa na mwanangu akihamia eneo ya kazi ni mtu wa kondoa sema ,alikaa sana chuga ukimuona ni mweupe jamaa alioa mapema mpaka anakuja kazini alikuwa ana mtoto ana miaka kama 3....Basi jamaa
Ndio vilivyo vimekosa attention na soko vimebaki kutupakazia huu ujinga lkn wanaume kama tulivyo kubaliana mwanamke kwetu ni kachumbari tu awepo asiwepo mambo poa dole kuna mengi ya kufanya nje ya kuchezea vududu
 
🤣🤣🤣🤣
 
😄😄😄😄
 
Sawa 🙄
 
🤣🤣🚴🚴🤸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…