Imani kwa wanaume imekwisha

Imani kwa wanaume imekwisha

Biashara asubuhi jioni hesabu imekwisha hiyo. Yaani udange ukiwa binti mbichi kabisa na watu wanakuona alafu umri ukutupe hauna mchumba maana dogo dogo washa chukua nafasi ukiulizwa kuhusu ndoa lazima uteme povu tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nalo neno hilo ndani ya ukweli wa mada husika🤣
 
Ni masista duu nimewanyaka sehemu fulani wakijadili na kupondea....Eti hawaolewi kwa sababu wanaume wananyang'anya wanaume zao Ivo kumekuwa na uhaba wa wanaume😳....jambo lingine Eti hata picha zinazotupiwa sana mitandaoni....

Ukiona wanaume wawili picha ya pamoja afu wanajiita marafiki ujue ni wanakulana yaan wapenzi....haitoshi na mabarabarani wanaume wanaoongozana wawiliwawili au wamekaa sehemu tulivu(bar) pamoja Eti wengi wao ni wapenzi.

Nimewaza nikajisemea hii ngoma hii dunia hii amani na utulivu hakuna tena....Dunia imekuwa uwanja wa vita.😥 Aisee....wanaume mnaoliwa acheni bas hizo mambo mnachafua wenzenu tafadhali
😳😳
 
unavutia sehemu moja eeh
mwanamke kuwa mwanaume haileti kigugumizi ?
maana ameshapunguza idadi ya wanaoitwa wanawake


kuna wanaume "wanaopakuliwa" na wameoa pia na watoto juu
😳 serious?
 
Hawa wa2 tukiwajadili ndio tunawapa sifa alaf pia inachangia MTU kuweza kuona anacho Fanya kinafaa in short hao wa2 awawezekaniki tena ni sawa. Na mvuta sigara hawezi acha at a siku moja at a akiacha atakua anavuta kidogo kwahyo ata hawa jamàa Kama ndiio tabia yake awezi acha mandishi yetu tukiandka mwisho tutalala na kaz zinaendelea tens kwa upande wao anaona nni raha. Kujadili HVO kumbe amna kitu kwshyo at a tukiwasema ni kama tuu vile tunawaproud na kuwapa sifa maana Tatar hawez kua men rijali ata cku moja yan kwel wanawake walivo weng tens wazur alafu watam kama asali😋😋🤔 yan alafu unakuta mwamba ndiio HVO tens wakuu tusiwape sifa wala kuwajidili c tuendelee kula vitu vitam kwa wanawake zetu asikwambie MTU mwanamke mtam sanaàa
Sawa mkuu🤜
 
Hao wote uliowamention wanaolewa TU mkuu coz ni wanawake ila wanaume kuwa wanawake huoni kama linaleta kigugumiz mkuu
Usagaji na ushoga havikubaliki. Ndio sababu hufanywa kwa kujificha sana tofauti na tendo la ndoa linajulikana waziwazi kwamba Beesmom anakulwa na mbalizi1
 
Usagaji na ushoga havikubaliki. Ndio sababu hufanywa kwa kujificha sana tofauti na tendo la ndoa linajulikana waziwazi kwamba Beesmom anakulwa na mbalizi1
🤣🤣🤣Endelea kunila taratibuu....but wasagaji naona ni rahisi kuolewa coz ni wanawake
 
Back
Top Bottom