Hawa wa2 tukiwajadili ndio tunawapa sifa alaf pia inachangia MTU kuweza kuona anacho Fanya kinafaa in short hao wa2 awawezekaniki tena ni sawa. Na mvuta sigara hawezi acha at a siku moja at a akiacha atakua anavuta kidogo kwahyo ata hawa jamàa Kama ndiio tabia yake awezi acha mandishi yetu tukiandka mwisho tutalala na kaz zinaendelea tens kwa upande wao anaona nni raha. Kujadili HVO kumbe amna kitu kwshyo at a tukiwasema ni kama tuu vile tunawaproud na kuwapa sifa maana Tatar hawez kua men rijali ata cku moja yan kwel wanawake walivo weng tens wazur alafu watam kama asali😋😋🤔 yan alafu unakuta mwamba ndiio HVO tens wakuu tusiwape sifa wala kuwajidili c tuendelee kula vitu vitam kwa wanawake zetu asikwambie MTU mwanamke mtam sanaàa