Imani kwa wanaume imekwisha

Imani kwa wanaume imekwisha

Ni masista duu nimewanyaka sehemu fulani wakijadili na kupondea....Eti hawaolewi kwa sababu wanaume wananyang'anya wanaume zao Ivo kumekuwa na uhaba wa wanaume😳....jambo lingine Eti hata picha zinazotupiwa sana mitandaoni....

Ukiona wanaume wawili picha ya pamoja afu wanajiita marafiki ujue ni wanakulana yaan wapenzi....haitoshi na mabarabarani wanaume wanaoongozana wawiliwawili au wamekaa sehemu tulivu(bar) pamoja Eti wengi wao ni wapenzi.

Nimewaza nikajisemea hii ngoma hii dunia hii amani na utulivu hakuna tena....Dunia imekuwa uwanja wa vita.😥 Aisee....wanaume mnaoliwa acheni bas hizo mambo mnachafua wenzenu tafadhali
Tatizo linaanza pale watu wanaanza kuingilia starehe za watu wengine. Kama wao wanapenda wee inakuhusu nini wacha watu wale tope
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Endelea kunila taratibuu....but wasagaji naona ni rahisi kuolewa coz ni wanawake
Haya sawa.....twende ndani nikakukule tartiibuuuu....[emoji3].

Inasemekana kuna mashoga wameoa na wana watoto (familia) lakini wanapumuliwa
 
Chekini hawa, ZEBRA ZAO
20220823_101816.jpg
 
Back
Top Bottom