Imani kwa wanaume imekwisha

Imani kwa wanaume imekwisha

Wanawake wengi wanajirahisisha mno.
Mtu hata ukioa, bado wanajirahisisha, hawaoni kinyaa kuchangia.
hayo mambo ya ushoga siyo kweli.
 
Ila now days Hadi wanaume ni changamoto kuna wengine kupata network mpaka afunguliwe koki ndo kisimbuzi kisome chaneli zake.
 
Wanawake wajinga sasa ,mwaka Jana nilikuwa na mwanangu akihamia eneo ya kazi ni mtu wa kondoa sema ,alikaa sana chuga ukimuona ni mweupe jamaa alioa mapema mpaka anakuja kazini alikuwa ana mtoto ana miaka kama 3....Basi jamaa nilikuwa karibu nae maana alikuwa ni mtu dini sana sometimes tunashuka kupiga swala siku moja ila huwezi kumzania kama anaswali coz ni bishoo ..Ni hizi hakuwaga na mazoea na mtoto wa keki hata salamu hanaga timu ana mademu zake kibao huko nje ila alishaoa pia .

Sasa kumbe ile life style yake mademu wanakosea attention yake ,Duh! si wakaanza kimpakazi eti ni shoga !! kumbe mchizi hanaga time na mtu halafu pia ni mnyafabiashara yaani ana mambo mengi na ni chalij Miaka 30 ila naona kafanya mambo makubwa na uhuni kafanya sana yaani katulia ni mwendo wa kupendeza na ule weupe wake eti wanamuita shoga ..Katika tafiti kumbe Kuna kidemu lilikuwa kinamshobokea jamaa ana macumba kisa anaroll na vanguard akija town jamaa akakitolea nje kabisa ndo kikaanza kimpakazi .
Ishu imekuja kugundulika jamaa alipanik kinoma alitaka kumzibua yule demu jamaa itabdi aonyeshe mbele za watu wa ofisi "Mimi Nina mke anaonyesha mapicha alipooa na Nina mtoto na soon napata mwingine "
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anatafuna mabinti wa Kaz [emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Hatari sana. Kwa mujibu wa wanaosagwa kuacha hiyo umafia huwa ni ngumu mno kwasababu anayemsaga mwenzie anamfanya kwa namna ambayo kama angekuwa anafanyiwa yeye angejiskiaje hivyo anakuwa makini sana kuitafuta ile sexual excitement kwa ustadi wa kiwango Cha kimataifa.

Hata hivyo wanakiri wazi kwamba mborlour itabaki kuwa mborlour tu na heshima yake haifananishwi
 
Huo ndio uhalisia.
 
Ni masista duu nimewanyaka sehemu fulani wakijadili na kupondea, eti hawaolewi kwa sababu wanaume wanawanyang'anya wanaume zao, hiyvo kumekuwa na uhaba wa wanaume😳. Jambo lingine, eti hata picha zinazotupiwa sana mitandaoni, ukiona wanaume wawili picha ya pamoja afu wanajiita marafiki ujue ni wanakulana yaani wapenzi!

Barabarani pia wanaume wanaoongozana wawili wawili au wamekaa sehemu tulivu(bar) pamoja, eti wengi wao ni wapenzi. Nimewaza nikajisemea, hi dunia amani na utulivu hakuna tena. Dunia imekuwa uwanja wa vita😥. Aisee, wanaume mnaoliwa acheni basi hizo mambo mnachafua wenzenu tafadhali.
Hata wanawake ni hivyo hivyo juzi nimeona clip ya wanafunzi wa chuo Cha mambo ya mahakama huko Lushoto Tanga wote wa kike ila mmoja anajifanya mwanaume et ni mpenzi wa mwingine tunakoelekea ni kubaya Sana.
 
Wanawake wajinga sasa ,mwaka Jana nilikuwa na mwanangu akihamia eneo ya kazi ni mtu wa kondoa sema ,alikaa sana chuga ukimuona ni mweupe jamaa alioa mapema mpaka anakuja kazini alikuwa ana mtoto ana miaka kama 3....Basi jamaa nilikuwa karibu nae maana alikuwa ni mtu dini sana sometimes tunashuka kupiga swala siku moja ila huwezi kumzania kama anaswali coz ni bishoo ..Ni hizi hakuwaga na mazoea na mtoto wa keki hata salamu hanaga timu ana mademu zake kibao huko nje ila alishaoa pia .

Sasa kumbe ile life style yake mademu wanakosea attention yake ,Duh! si wakaanza kimpakazi eti ni shoga !! kumbe mchizi hanaga time na mtu halafu pia ni mnyafabiashara yaani ana mambo mengi na ni chalij Miaka 30 ila naona kafanya mambo makubwa na uhuni kafanya sana yaani katulia ni mwendo wa kupendeza na ule weupe wake eti wanamuita shoga ..Katika tafiti kumbe Kuna kidemu lilikuwa kinamshobokea jamaa ana macumba kisa anaroll na vanguard akija town jamaa akakitolea nje kabisa ndo kikaanza kimpakazi .
Ishu imekuja kugundulika jamaa alipanik kinoma alitaka kumzibua yule demu jamaa itabdi aonyeshe mbele za watu wa ofisi "Mimi Nina mke anaonyesha mapicha alipooa na Nina mtoto na soon napata mwingine "
Maskini,pole yake
 
Back
Top Bottom