Imani ya Bunge haiwezi kujengwa chini ya Tulia Ackson

Dah!!!

Watu wanataka Spika atakayemlamba miguu Rais...πŸ€”πŸ€”, yale yale mambo ya Job na JPM
 
Hapa hoja zingine ni mufilisi kabisa.
Mfano, "hajawahi kuvaa barakoa" so what? Tusiwe na akili za kushikiwa. Wewe unavaa barakoa kwasababu rais anavaa au kwasababu unajihisi uko hatarini?

Eti hajawahi kujivunia kuwa na raisi mwanamke? Hii ni hoja mfu kabisa. Tanzania haihitaji raisi mwanamke ila inahitaji rais atakayetoa dira ya kuondoa umasikini ujinga na maradhi bila kujali jinsia. Unapojivunia uwanamke kwani tunataka azae au unajivunia kipi?

Tumedhoofishwa kifikra hadi tunasifu vitu vya kipumbavu. Kwa namna hii tutatawaliwa na mabeberu hadi tunyooke.
 
Mshana, huu utaratibu wa kuchangia hoja kwa kukopi hoja ya mtu unakera. Maadili ya uandishi hayaruhusu hii kitu. Ni total plagiarism. Unaweza kufanya vizuri zaidi. Wewe ni mkongwe hapa. Kama umependa mchango wa mtu basi like tu usonge mbele.
 
Mimi binafsi Nina Imani na Tulia anafaa na ni msomi mzuri sana wa sheria
 
Nashauri nafasi ya Spika itangazwe wenye sifa waombe maana Spika siyo lazima atokane na wabunge.Naamini kuna watanzania wazuri zaidi wa kuweza kuliongoza hilo bunge.Mungu ibariki Tanzania.
 
Kimsingi alishiriki uovu mwingi tu alioufanya boss wake, nimatarajio kuwa kilichotokea ni somo tosha, na hata covid19 atajitenga nao iwapo akamrithi boss wake.
Hivi Ana mume?
Naomba mwenye wasifu wake anisaidie.
 
Mshana, huu utaratibu wa kuchangia hoja kwa kukopi hoja ya mtu unakera. Maadili ya uandishi hayaruhusu hii kitu. Ni total plagiarism. Unaweza kufanya vizuri zaidi. Wewe ni mkongwe hapa. Kama umependa mchango wa mtu basi like tu usonge mbele.
Mwache mimi nimemruhusu
 
Nashauri nafasi ya Spika itangazwe wenye sifa waombe maana Spika siyo lazima atokane na wabunge.Naamini kuna watanzania wazuri zaidi wa kuweza kuliongoza hilo bunge.Mungu ibariki Tanzania.
Spika lazima atokane na CCM ni nafasi vyeti hawezi kupewa mtu from ni where
 
Mwache mimi nimemruhusu
Sawa mkuu. Lakini si kwako tu, yeye akipendezwa na mchango fulani hukopi na kupaste kama vile yeye ndiye kaandika. Unakuta baadhi yetu tunakerwa kusoma kitu kilekile kwa mchangiaji mwingine. Nimemshauri akiweza a "like" au a "quote" kisha aweke mchango wake pale.
 
Inaitwa kukazia maarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…