Imani ya Bunge haiwezi kujengwa chini ya Tulia Ackson

Atupwe kule, huyu atakuwa anafata maelekezo ya Ndungai
 
Japokuwa simkubali Tulia lakini huu ni ujinga tu ulioandika yaani kifupi ni "nonsense"
 
Japokuwa simkubali Tulia lakini huu ni ujinga tu ulioandika yaani kifupi ni "nonsense"
Ameutuma uje umuokoe
Ukiwa kundi pinzani ndani ya Chama
Tegemea ayo mambo kukuharibikia muda wowote
Tulia anahusika na wale wanaojiita Sukuma ganga
 
Ameutuma uje umuokoe
Ukiwa kundi pinzani ndani ya Chama
Tegemea ayo mambo kukuharibikia muda wowote
Tulia anahusika na wale wanaojiita Sukuma ganga
I have nothing to do with that shit ila hata wewe huna hoja za msingi dhidi ya hili nachelea kusema hata wewe huna credibility za kumnanga huyo tulia maana bandiko lako halina mantiki.
 
Mkuu wasamehe ndio kiwango cha upeo wetu.
 
Wasimpe hata haelewi maana ya democrasia.
 
Dr Tulia Akson Mwansasu ndiye Spika wetu mpya ajaye. Utanisamehe, sio mimi, bali ni sauti hii
Hivyo endeleeni kusema yoote, mwisho wa siku Spika ni yule tuu aliyepangiwa, hivyo kama sauti hiyo ni ya ukweli, ... then Spika wetu mpya ni Dr. Tulia.
P
 
Tunasubiri Mkuu P
 
Change akirudishwa kuwa spika Kuna siku watanzania watalia na kusaga meno
Tumshukuru Sana Magufuli alitutolea huyu mtu hapo Bungeni
Ni mtu hatari Sana, nchi itauzwa hii, Na Sasa atarudi akiwa na hasira mara dufu
Msithubutu kabisa jamani ndugu zetu wabunge
Tuoneeni huruma wananchi
 
Imani ya Bunge kwa nani? Imani gani hiyo unayoisemea? Je chini ya Ndugai ilijengwa?

Tunataka Tulia awe Spika kampeni za wapinzani wake kumchafua ni kujaza maji kwenye chandarua.
 
Nchi gani imewahi kuuzwa
 
Imani ya Bunge kwa nani? Imani gani hiyo unayoisemea? Je chini ya Ndugai ilijengwa?

Tunataka Tulia awe Spika kampeni za wapinzani wake kumchafua ni kujaza maji kwenye chandarua.
Hii ilitoka hata kabla hajachukua fomu
 
Ilitoka ndio kwani potential candidates si walijulikana mapema kwa hiyo sio ajabu kwa sababu Kati ya wote yeye ndio mwenye uzoefu.

Anna Makinda alikuwa Naibu akawa Spika.
 
Kama na Wewe Ngungenge umeliona hilo sisi tusemeje? Ingawa hakuna bunge la maana lakink hata hilo Tulia Ackson hafai. Anaangalia maslahi binafasi tu.
 
Nasikia ameshaongezewa ulinzi.

Lakini mihimili miwili kuongozwa na sidhani kama vidume vitakubali.
Mihimili yote wanawake na kule Inteligence tutaweka mwanamke. Mahakama mwanamke.

Wanaume mmezidi kuvimba sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…