Ukioneshwa utakubali kunywa koka kola?ukristo upi unao kula nguruwe? fungu tafadhari
Kama Kuna fungu lipo naomba. Koka kola nakunywa.Ukioneshwa utakubali kunywa koka kola?
Point yangu ni kwamba ukristo ni imani ambayo inagusa sehemu ndogo ya maisha ila katika uhalisia wa maisha ya binaadamu kuna mambo mengi zaidi.Sasa ufanyeje,
Arafat kawasuluhisha Israeli na Palestina miaka na miaka bado hawaelewi.
Leo tunaona Hamas wanaenda kuwavamia Israeli na vita inaendelea.
Huko Sudani watu wa dini wanaendelea kuchinjana, Somalia mambo ni yale yale watu wadini wanauana bila huruma.
Kinacho baki ni kuwacheka tu Dini zimewapumbaza na kuwaondolea utu wa kibinadamu.
Wapuuzi dawa yao ni kuwacheka tu. Hata ukiwaonea huruma haisadii kwani wao hawajionei huruma.
Uongoβ οΈ Uongoβ οΈ uongoβ οΈUkiweka maelezo kwamba wakiristo ni wafuasi wa mafundisho ya Kristy,Hilo halina shida,shida inakuja wanajiita wakiristo kudai na kuamini kuwa yesu ni Mungu wakati yesu mwenyewe hajawahi kujiita Mungu,msitari wa biblia utaotoa ni ule wa paulo kukutana na yesu akienda Damascus,ukitumia huo utarudi palepale kwamba muasisi wa ukiristo huu wa kudai yesu ni Mungu ni Paulo,katika vitabu 13 vya agano jipya,Saba ni vya Paulo,na agano jipya ndiko unakopatikana ukiristo wa Leo,wayahudi walimpinga yesu si kwa kuwa alijiita Mungu Bali wayahudi walikua na kawaida ya kuikataa manabii,walimkataa hata Musa,wakamkataa yesu kwa kujiita mfalme(nabii) wa wayahudi
Statistics zinasema nchi za kiislamu ndo zinazoongoza kwa kukosa amani, sasa sijajua amani gani unayozungumzia weweAcha kabisa kuwafananisha waarabu waislamu na hao magaidi wa kizayuni waliolaaniwa, na ndio maana hawana amani all the time
You're very ignorant brother.Waarabu hawakuhusika na biashara ya utumwa, kama nikweli unaweza ukaweka ushahidi hapa
View attachment 2992879
Ukimsoma Numbers 16:1-40 utakuta uasi na kutomuamini Musa na Mungu wake toka kwa waisrael, numbers 14:2-10 wakitaka kumpiga mawe Musa, numbers 14:11 Mungu analalama kwa Musa kwa nini hao mbwa wa Israel hawamuamini, exodus 32:1 wakaamua kuunda sanamu la ndama waliabudu badala ya Mungu wa MusaUongoβ οΈ Uongoβ οΈ uongoβ οΈ
Ndugu yangu punguza uongo, hii sio mara ya kwanza kukufumania unadanganya watu.
1st of all, kama huelewi kuhusu uungu wa yesu bora ukae kimya tuu, mitume wameelezea vizur uungu wa yesu, hata huyo Paulo, na yesu mwenyew ameweka wazi kuhusiana na uungu wake, please usidanganye watu, ukitaka evidence zipo za kutosha kweny biblia ukizitaka sema.
Second, Paulo sio muasisi wa ukirsto, inabidi uelewe nn maana ya "Ukristo" na "Mkristo", Paulo mwenyew aliingia kweny ukristo na alikuta kuna wakristo wengi tuu wapo(wanafunzi wa yesu na wafuasi wake)
Third, Paulo sio wa kwanza/sio muasisi wa kwanza wa kusema kwamba yesu ni mungu, again unadanganya watu.
Fourth, agano jipya ina vitabu 13?? Biblia ya wapi hio?? au biblia ya hapo msikitini Kwenu?? Punguza uongo broo sisi mbona tukizingumzia uislamu tunatoa evidence kweny vitabu vyenu hivohivo.
Fifth, broo biblia iko wazi kuhusu kwann wayahudi walimkataa yesu, kwasababu alijitambulisha kama mwana wa mungu, hizo sababu za unabii unazotoa wewe unazitolea wapi?? Je ni kweli wayahudi walimkataa Mussa?? Wakati haohao wayahudi unaowazungumzia wanatumia Torati ambayo imeandikwa yote na Mussa, Mussa kwa wayahudi ni kama nabii mkuu, broo unaongea vitu gani??
Unanifanya niamini hii sentensi
"Without lies, Islam dies"
Hio sio point ya msingi kabisa, Mimi na baba angu tumegombana sana zamani ikafika hadi hatua ya kupelekana polisi, ila asaiv tuko poa tunapendana sana tena kuliko zamani, je inamaanisha nilimkataa baba angu??Ukimsoma Numbers 16:1-40 utakuta uasi na kutomuamini Musa na Mungu wake toka kwa waisrael, numbers 14:2-10 wakitaka kumpiga mawe Musa, numbers 14:11 Mungu analalama kwa Musa kwa nini hao mbwa wa Israel hawamuamini, exodus 32:1 wakaamua kuunda sanamu la ndama waliabudu badala ya Mungu wa Musa
1. Kwa jinsi ulivoandika unaonekana kabisa haya mambo umekaririshwa/umejikaririsha, ili uelewe alichosema kweny hio second corinthians inabidi usome Aya yote ya 11, ameelezea vizur kabisa hao mitume anaowaita feki, wala sio mitume waliosambaza injili ya kweli ya yesu, bali ni wale ambao walisambaza injili ya uongo na kumhubiri yesu wa uongo kwa matamanio ya kupata fedha.Kuhusu kuwa na injili nyingi na paulo akiwa na yake soma 2corinthians 11:14,na 2corunthjans 11:13 paulo anawaita wenzie mitume feki wakati yeye ndiye feki kajiteua mwenyewe, Romans 2:16 paulo anaiita 'injili yangu'..mtu ambaye Wala hakuwa sambamba na yesu wakati wa uhai wake,injili yake na juhudi zake za kuihubiri zikafunika mafundisho halisi ya yesu na kuibua Imani ya kumpa yesu uungu
Madini hayoPumba tupu.
Porojo nyingi,ulibisha waisrael hawakumkana Musa,nimekupa maandiko mpaka Mungu kamaind wao kumkana,nimekuonesha palikua na injili tofauti na ya Paulo,akiwadiss wahubiri wengine,wakati yeye ni mtume wa 13 wa kujiteua Wala hakuteuliwa na yesu na kwamba huu ukiristo wenu wa kumpa yesu uungu ni WA Paulo,bado hutaki,ninekuwekea mijadala ya wakiristo wenzio,sidhani Kama umesonaHio sio point ya msingi kabisa, Mimi na baba angu tumegombana sana zamani ikafika hadi hatua ya kupelekana polisi, ila asaiv tuko poa tunapendana sana tena kuliko zamani, je inamaanisha nilimkataa baba angu??
Mara ngapi tunakosea tunagombana na wazazi wetu badae tunaomba msamaha tunarudisha uhusiano wetu, je sivyo kati ya uhusiano wa binadamu na mungu??
Je hawakutubu na kumrudia Mungu??
Unachoongea ni pointless kwasababu hadi sasa dini yao hao wayahudi ime-base kweny mafundisho ya Mussa, na hata walivokutana na yesu walikuwa wana judge/wanamdadisi kupitia mafundisho na sheria za Mussa(torati) sasa unasemaje walimkataa??
1. Kwa jinsi ulivoandika unaonekana kabisa haya mambo umekaririshwa/umejikaririsha, ili uelewe alichosema kweny hio second corinthians inabidi usome Aya yote ya 11, ameelezea vizur kabisa hao mitume anaowaita feki, wala sio mitume waliosambaza injili ya kweli ya yesu, bali ni wale ambao walisambaza injili ya uongo na kumhubiri yesu wa uongo kwa matamanio ya kupata fedha.
2 Wakorintho 11:4
[4]Maana yeye ajaye akihubiri Yesu mwingine ambaye sisi hatukumhubiri, au mkipokea roho nyingine msiyoipokea, au injili nyingine msiyoikubali, mnatenda vema kuvumiliana naye!
For if he that cometh preacheth another Jesus, whom we have not preached, or if ye receive another spirit, which ye have not received, or another gospel, which ye have not accepted, ye might well bear with him.
2 Wakorintho 11:7
[7]Je! Nalifanya dhambi kwa kunyenyekea ili ninyi mtukuzwe, kwa sababu naliwahubiri Injili ya Mungu bila ujira?
Have I committed an offence in abasing myself that ye might be exalted, because I have preached to you the gospel of God freely?
Pia kweny hiohio aya ya 11 anawasifia mitume waliomtangulia na kuwaita "mitume wakuu"
2 Wakorintho 11:5
[5]Maana nadhani ya kuwa mimi sikupungukiwa na kitu walicho nacho mitume walio wakuu.
For I suppose I was not a whit behind the very chiefest apostles.
ni upumbavu wako tuu kuongea vitu bila kusoma vzur kama mnavokaririshana quran bila hata kufikiria, unasoma mstari mmoja una jump to conclusions, it's very idiotic.
2. Paulo kusema Injili yangu sio shida kwasababu ni mmoja kati wa wainjilisti wenye impact kubwa hapa duniani, kasema "injili yangu" kwasababu yeye ndo kabeba huo ujumbe na kuwapelekea mataifa ambao hawakumtambua yesu wala mafundisho yake.
Sasa nakuuliza swali, ni wapi paulo alisema alitembea na yesu au aliishi na yesu kama wakina petro?? Paul never claimed to be Jesus disciple, hamna hata sehemu hata moja, yeye anajiita mtume wa yesu maana yake "Mtumwa" wa yesu.
Nakuuliza swali lingine, ni wapi injili ya paulo inatofautiana na mitume wengine?? Je umesema injili za mitume wengine?? Je, una uhakika yeye ndo wa kwanza katika mitume kumwita yesu mungu?? Mitume wote walisambaza habari kwamba yesu ni mwana wa mungu eternally existing, hayo mambo we umeyatolea wapi??
Na je, ni wapi injili ya paulo inatofauti na mafundisho ya yesu na injili za mitume mengine kama unavodai??
Nijibu kwanza maswali yangu, tuwekane kwanza sawa ndo tuendelee.
π π πPorojo nyingi,ulibisha waisrael hawakumkana Musa,nimekupa maandiko mpaka Mungu kamaind wao kumkana,nimekuonesha palikua na injili tofauti na ya Paulo,akiwadiss wahubiri wengine,wakati yeye ni mtume wa 13 wa kujiteua Wala hakuteuliwa na yesu na kwamba huu ukiristo wenu wa kumpa yesu uungu ni WA Paulo,bado hutaki,ninekuwekea mijadala ya wakiristo wenzio,sidhani Kama umesona
Ulikataa waisrael hawakumkana Musa na Mungu wake,ninekupa andiko wamemkataa na Mungu kang'aka,unakuja kujichekesha Kama mwanamke malayaπ π π
Umeshindwa kujibu maswali yangu kwa sababu huna unalojua, kitu unachojua umesimuliwa au mnafundishana huko misikitini kwenu.
Acha kuleta statements zisizokuwa na ushahidi, mm asaiv nikisema kwamba Muhammad alikuwa ni pedophile nina ushahidi, kwanza alimuoa aysha katoto cha miaka 6 then kumpiga miti alipofikisha miaka 9, then siku nyingine akaingiza ulimi wake kweny mdomo wa mtoto wa kiume, hizi story zote kweny vitabu vyeni.
Kama unajiamini leta evidence kwamba Paulo alijitambulisha kama mtume wa 13(which he never did) na kusema mitume wengine ni feki, then Leta ushahidi kwamba injili yake ni tofauti na injili za mitume wengine, na je, ni injili yake pekee ndo inasema yesu ni mungu??
Paulo na mitume walikuwa na uhusiano mzuri tuu acha kupotosha watu, wewe ndo wale watu Petro(mmoja kati ya mitume ambaye wewe umesema Paulo alimwita mtume fekiπ) aliowasema kwamba mnapotosha mafundisho ya Paulo
2 Petro 3:15-18
[15]Nanyi uhesabuni uvumilivu wa Bwana wetu kuwa ni wokovu, kama vile na ndugu yetu mpenzi Paulo alivyowaandikia kwa hekima aliyopewa;
And account that the longsuffering of our Lord is salvation; even as our beloved brother Paul also according to the wisdom given unto him hath written unto you;
[16]vile vile kama katika nyaraka zake zote pia, akitoa humo habari za mambo hayo; katika nyaraka hizo yamo mambo ambayo ni vigumu kuelewa nayo; na mambo hayo watu wasio na elimu, wasio imara, huyapotoa, kama vile wayapotoavyo na maandiko mengine, kwa uvunjifu wao wenyewe.
As also in all his epistles, speaking in them of these things; in which are some things hard to be understood, which they that are unlearned and unstable wrest, as they do also the other scriptures, unto their own destruction.
[17]Basi, wapenzi mkitangulia kujua hayo, jilindeni nafsi zenu, msije mkachukuliwa na kosa la hao wahalifu mkaanguka na kuuacha uthibitifu wenu.
Ye therefore, beloved, seeing ye know these things before, beware lest ye also, being led away with the error of the wicked, fall from your own stedfastness.
[18]Lakini, kueni katika neema, na katika kumjua Bwana wetu na Mwokozi Yesu Kristo. Utukufu una yeye sasa na hata milele.
But grow in grace, and in the knowledge of our Lord and Saviour Jesus Christ. To him be glory both now and for ever. Amen.
Paulo hakusambaza uongo wowote kama unavomshtaki, sio kama muhammad aliyesambaza uongo na mafundisho ya chuki, Muhammad hastahili hata kushika miguu ya Paulo, Paulo ni mtume aliyesambaza injili ya yesu iliyojaa mafundisho ya upendo, haki na neema.
Sio swala gumu ni swala tuu la kuleta evidence kama mm ninavoweza ku-back up vitu nilivosema.
Naona unaendelea kuleta mada ambazo zishapita/tushaziongelea zikisindikwa na matusi juu π π π, hio ni ishara ya kukasirika kwa sababu nimekuumbua na uongo wako ambao kila siku nakuona unadanganya watu hapa JF, haya sawa tuendelee na hichohicho ulichokikazania, mi sina shida, wala sina hofu, sina haja ya kuogopa maswali kutoka kweny biblia yangu kwasababu naijua dini yangu, sipo brainwashed like most of you muslims, na uzuri zaidi, naijua na dini yako piaπUlikataa waisrael hawakumkana Musa na Mungu wake,ninekupa andiko wamemkataa na Mungu kang'aka,unakuja kujichekesha Kama mwanamke malaya
Umeua mkuu nilishapanga kuzijibu kwa fact bumunda kama hio jamaa sema hua nakosa muda tu,Naona unaendelea kuleta mada ambazo zishapita/tushaziongelea zikisindikwa na matusi juu π π π, hio ni ishara ya kukasirika kwa sababu nimekuumbua na uongo wako ambao kila siku nakuona unadanganya watu hapa JF, haya sawa tuendelee na hichohicho ulichokikazania, mi sina shida, wala sina hofu, sina haja ya kuogopa maswali kutoka kweny biblia yangu kwasababu sipo naijua dini yangu, sipo brainwashed like most of you muslims, na uzuri zaidi, naijua na dini yako piaπ
The fact is israel walivomkataa mussa ni tofauti na wayahudi walivomkana yesu, lengo lako lilikuwa useme kwamba Israel walimkataa mussa and they don't acknowledge him, point ambayo nishakuumbua kuwa ni ya uongo kwasababu jew regard Mosses as one of the leading prophets in the old testament.
Issue nyingine ni kwamba hizo scenario ambazo Israel walimkataa mussa umezisoma vizur?? kama umezisoma vizur leta moja tui-discuss freely hapahapa jukwaan niendelee kukuumbua π π π
Hakuna wanalojua hao wakina inamankusweke na wenzake, hata quran yao wenyew hawaijui, hakika wangeisoma vizur na kuichambua vzuri na kui-judge kama sisi tunavo chambua biblia wangehama huko kweny uislamu, wao ni mwendo wa kumezeshwa tuu kiarabu na wamepigwa marufuku kui-judge quran na ku-judge utume wa Muhammad.Umeua mkuu nilishapanga kuzijibu kwa fact bumunda kama hio jamaa sema hua nakosa muda tu,
Kumbe tupo wengi ambao hua tunafuatilia uzushi wa hizo komwe asipoelewa hapa atakuja kukuelewa akiwa anachomeka kama kuni huko fuckn Hell!
ππ
Isa ni variation tu ya jina la Yesu, jina ambalo kwa kiebrania ni Yeshua, kwa kingereza ni Jesus, kwa kirumi ni Yesu, kwa kiarabu ndio Isa, na tukujuze tu kuwa hiyo Isa , hiyo I yake inatamkwa tokea kooni sio ile i ya kwenye a e i o u, ni i tofauti kidogo ya herufi iitwayo ain, ΨΉ ambayo haipo kwenye kiswahili, hiyo Isa i yake unaitamka kama ike R ya kifaransa, tafuta mfaransa akitamka jina Paris, jinsi atamkavyo hiyo Ri, ndivyo itamkwavyo I ya kwenye jina Isa ambalo ni jina kiarabu la YesuWaarabu wakaona isiwe tabu wakajitengenezea Yesu wao wa magumashi wakamwita isaa wakasema kazakiwa chini ya tende
Waarabu wakaona isiwe tabu wakajitengenezea Yesu wao wa magumashi wakamwita isaa wakasema kazakiwa chini ya tende
Tupo pamoja kiongozi nitakuita muda wowote nitakapo ona uzushi humu usijali!Hakuna wanalojua hao wakina inamankusweke na wenzake, hata quran yao wenyew hawaijui, hakika wangeisoma vizur na kuichambua vzuri na kui-judge kama sisi tunavo chambua biblia wangehama huko kweny uislamu, wao ni mwendo wa kumezeshwa tuu kiarabu na wamepigwa marufuku kui-judge quran na ku-judge utume wa Muhammad.
Nakosaga muda wa kumjibu tuu ila leo nina muda π π π
Ukiona wengine wanasambaza uongo please tag me
Uongo huo Yesu kwa kiarabu ni Yasu na Sio Isa acha uzushi na nenda kajifunze Wakristo wa uarabuni wanamwitaje!Isa ni variation tu ya jina la Yesu, jina ambalo kwa kiebrania ni Yeshua, kwa kingereza ni Jesus, kwa kirumi ni Yesu, kwa kiarabu ndio Isa, na tukujuze tu kuwa hiyo Isa , hiyo I yake inatamkwa tokea kooni sio ile i ya kwenye a e i o u, ni i tofauti kidogo ya herufi iitwayo ain, ΨΉ ambayo haipo kwenye kiswahili, hiyo Isa i yake unaitamka kama ike R ya kifaransa, tafuta mfaransa akitamka jina Paris, jinsi atamkavyo hiyo Ri, ndivyo itamkwavyo I ya kwenye jina Isa ambalo ni jina kiarabu la Yesu