Imani ya Mwarabu na Myahudi zinafanana kwa karibu sana, wote walimkataa Yesu ndio maana laana ya damu inawasumbua

Imani ya Mwarabu na Myahudi zinafanana kwa karibu sana, wote walimkataa Yesu ndio maana laana ya damu inawasumbua

Uongo huo Yesu kwa kiarabu ni Yasu na Sio Isa acha uzushi na nenda kajifunze Wakristo wa uarabuni wanamwitaje!
Kitu ambacho watanzania kunawachanganya ni kwamba hamjui kuwa wenzetu hawaiti majina kwa kutamka tu ila kila jina lazima liwe na maana yake. Yasu sio kiarabu ni ki Aramaic. Jina la isah lina maana yake kwa kiarabu. Yasu au yeshua lina maana yake kwa ki Aramaic. Mfano mamake yesu anaitwa mariam kwa ki Aramaic (lugha ambayo alizungumza yesu) lakini wazungu hawawezi kumuita mariam kwasbabu haina maana yoyote kwa kuzingu so wanamuita marry. Je marry na mariam ni watu wawili tofauti?
 
Wakristo wa uarabuni wanamwita Yesu au Isa?
Tuanzie hapo kwanza
 
Upumbavu tu, Yesu anahusikaje hapo?
Habari gani pale Rwanda enzi hizo na Vita ya Kagera, vipi Ukrain/Russia na kwingineko kama Congo nk.?
 
Sawa ila Yesu Sio Isa na Isa siyo Yesu ukiwasoma ni watu wawili tofauti historical!
Sasa hayo ni mambo ya kiimani zaidi sio historical. Ukiwauliza waislamu na wakirsto na wayahudi yesu ni nani utapata majibu tofauti kutokana na imani zao. Wakristo watakwambia yesu ni mungu au mtoto wa mungu. Waislamu wanasema yesu sio mungu ila ni mtume kama mitume wengine. Na wayahudi wanatambua yesu alikuepo lakini sio mungu wala mtume na hana umuhimu wowote katika dini yao ni mtu tu wa kawaida. Ila hapa ki historia anazungumziwa mtu uyu uyu mmoja tofauti ni imani.
 
Hakuna cha madini hapo ni pumba tu.

Yesu (Issa Bin Maryam) hajawahi kukataliwa na waislamu.

Wanachokataa waislamu ni kusema Yesu ndiye Mungu
Yesu ni Sehemu ya nafsi ya Mungu. Ni Mungu aliekuja katika umbo la kibinadamu
 
Yesu ni Sehemu ya nafsi ya Mungu. Ni Mungu aliekuja katika umbo la kibinadamu
"Ni sehemu ya nafsi ya Mungu" na "Ni Mungu aliyekuja duniani katika umbo la kibinadamu" hizi ni kauli mbili zenye zenye muktadha tofauti kabisa.

Na hakuna mahali penye biblia ambapo Yesu aliwahi kukiri/kusema kuwa yeye ni Mungu.

Bali alikuwa akijiita kuwa yeye ni mwana Mungu, au mwana adamu.

Na hata yeye alionekana akimwomba Mungu, sasa huwezi kunambia Mungu anajiomba yeye, how come ?

"Eee Baba, ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke, au isipowezekana basi mapenzi yako yatimizwe"

"Eloi eloi lama sabakthani', yaani Mungu wangu Mungu mbona umeniacha" ?

Hivi Mungu anaweza kujiomba mwenyewe.

Siku tuki bahatika kwenda mbinguni lazima tukute Yesu na Mungu ni vitu viwili tofauti.

Hauwezi kumkuta Mungu tu umkose yesu eti akuambie Yesu ndiyo mimi huyo huyo niliyekuja duniani kimwili, hicho kitu hakipo
 
Umesahau Mwarabu akijitoa muhanga basi anapewa mabikra 18 akifika mbinguni.
 
Nakubali kuwa Ukienda mbinguni utakuta Yesu na Mungu wako tofauti, lakini Mungu yu ndani ya Yesu. Ndio Maana Yesu alisema, ukiniona mimi umemuona Baba.
 
You're very ignorant brother.

Waarabu hawakuhusika na utumwa
😂 😂 😂

Broo hujasoma nn?? Hata elimu ya shule ya msingi inatosha kukuelimisha kwamba waarabu ndo jamii ya mwisho kuachana na utumwa, hujawasoma wakina "Tippu Tip" na "Masjid bin Said" na jinsi walivokuwa wanamiliki na kuuza watumwa kutokea zanazibar??

Muhammad mwenyew alikuwa anamiliko female slaves sembuse wafuasi wake 😂 😂 😂

kwahiyo na wewe ukaamini vijitabu vya shule ya msingi? Kweli wamisionary walijua kuwaingiza mkingi
 
Na kuna mwafrika ambaye kampokea Yesu ila anaishi maisha mabovu kuliko myahudi na mwarabu. Mleta uzi nenda Mirembe wakakupime afya ya akili.
 
Back
Top Bottom