Imani Yetu Kuhusu Uwepo wa Mungu Inakiuka Uwezo Wetu wa Kufikiri Katika Kupatia!!!

Imani Yetu Kuhusu Uwepo wa Mungu Inakiuka Uwezo Wetu wa Kufikiri Katika Kupatia!!!

Ni kirabu kipi katika bible kimekataa kuhoji juu ya imani ya ki kristu na uwepo wa Mungu?
 
Napata kigagaziko. Kwa muktadha wa Sasa magu regime seems not be accepted by the majority, so does to say he is right!!
Hakubaliki na wengi wa wapi?! Ina maana huioni hii misukule tena iliyoenda shule ambayo kila siku inaimba "ubora" wa Magu?!
 
Kwa uelewa wangu mkuu huku kusema kwamba masuala ya Mungu hayapaswi kuhojiwa,huja pale watu wanapotaka kuhoji vitu ambavyo hatuna elimu navyo. Kuna mambo ambayo hatuyajui kwa sababu hatuna elimu nayo,na ndiyo hapa nilipopakusudia mimi na ndiyo nikasema hakuna wa kuhojiwa hayo masuala.

Kwahiyo yale ambayo tuna elimu nayo wapo wa kwenda kuwauliza,ila zaidi ya hapo huko ndiyo nadhani penye makatazo.

Katika ulimwengu hakuna anayejua mambo yote

Hata huyo mungu wako hajui mambo yote ya ulimwengu
 
Ungekuwa unapata kila unacho kitaka usingetambua uwepo wa mungu
 
ivi mnataka kuniambia kuwa mwili wa binaadamu na ubongo wake jinsi ulivyokuwa complex namna hii hauna dizaina? yani ilitokea tu kwa bahati mbaya?
Kwa mantiki hiyo tunategemea huyo designer atakuwa complex kuliko sisi alio tudizaini.Hivyo tutataka tujue je yeye alidizainiwa na nani? Na series itaendelea na kuendelea
 
Kwa mantiki hiyo tunategemea huyo designer atakuwa complex kuliko sisi alio tudizaini.Hivyo tutataka tujue je yeye alidizainiwa na nani? Na series itaendelea na kuendelea
Kwanza tukubaliane kuwa binaadamu ana fundi aliyemuunda,ama aliyeunda mazingira na sababu za kupatikana binaadamu,Kuhusu dizaina wa huyo alietudizaini sisi huo ni mjadala mwengine.
 
Hawa wanauliza kuhusu huyo dizaina
mkuu jibu langu la haraka haraka ni kuwa dizaina yupo na zaidi ya kudizaini na kutuunda sisi pia ndiye alieunda sayari hii ambayo kwa kiasi kikubwa iko suited kwa maisha ya binaadamu na viumbe,na ndie aliyeunda laws of nature na laws of the universe,na kwakuwa yeye ndie masta dizaina wa kila kitu hata reality yake yaweza kuwa tafauti na reality yetu hapa duniani,kama imewezekana black hole kuwa tafauti na solar system yetu,kuna uwezekano pia kuna reality,logic tafauti nyengine ya uumbaji na maisha.
 
Ni ngumu kukubaliana kwa sababu hakuna ushahidi au uthibitisho convincing.Dhana unayoitumia wewe ni argument of first cause na design ambazo zote ni mfu.

Ukisema binadamu ni complex lazima awe na designer, then hata Mungu lazima naye atatakiwa awe na designer.

Je aliyemdesign Mungu ni nani?
 
Back
Top Bottom