Imani Yetu Kuhusu Uwepo wa Mungu Inakiuka Uwezo Wetu wa Kufikiri Katika Kupatia!!!

Imani Yetu Kuhusu Uwepo wa Mungu Inakiuka Uwezo Wetu wa Kufikiri Katika Kupatia!!!

Uwepo wa Mungu uko pale pale, ila kuna nadharia ambazo zimesambazwa zinazofanya wengi wasijue uhalisia. Hivyo ni kweli kwamba majority ni wamepotoka kwa sababu mungu wanayemwamini sio huyo Mungu wa kweli.
 
Mimi ni mwanasayansi na mwanateknolojia hapo baadae.

Mada nyingine ni za kijinga kweli!

Kwa hiyo kwa sababu mashoga na wasagaji ni wachache kuliko waliostraight inamaanisha wao wako sahihi????

Mnahoji Mungu, kila saa Mungu, kila siku Mungu, kwani mnamdai mini Huyo Mungu?

Kama uhai ni kitu rahisi hivyo mbona kwa maendeleo ya sayansi na technology tulonayo hatujaweza kuumba hata jani tu achilia mbali sisimizi?

Wewe kukosa uwezo wa kufikiri sawasawa usianze kumsingizia Mungu wala dini.

Hivi unamfahamu Sir Isaac Newton?
Na unajua uwezo wake kiakili ulikuwaje?
Na unajua alikuwa anaamini mini kuhusu Mungu?
Na unajua kazi zake nyingi zilikuwa zinahusu nini?

Ngoja nikwambie kitu, hata kutokuamini Mungu inaweza kuwa dini pia.

Afrika kwa sehemu kubwa mpaka sasa watu hawaamini katika dini.

Angalia wasukuma wengi hawajui Kanisa wala Msikiti, haya uwezo wao kiakili ukoje?

Tuache upuuzi wa kumhoji Mungu tukijiona ndio tuna Miakili Mingiiiii kumbe ni majinga tu!
 
Ni sawa na wewe unavyokutana na mke wako mkijamiiana akiwa katika tarehe hatarishi kwa kushika ujauzito.

Hatimaye mke wako hupata ujauzito ambapo wote hamjui namna ulivyojitunga, si sekunde, dakika, saa, siku, mwezi, mwaka wala aina ya kiumbe kilichojitunga tumboni mwa Mke kwa wakati husika wa kutungwa kwa huo ujauzito(kiumbe).

So tuwe wapole tu kwa vitu vilivyotuzidi maarifa na uwezo maana ndivyo tulivyoumbwa hivi.
Kushindwa kujua kwa sasa haimaanishi haiwezekani kujua.Watu wa Aztec zamani waliamini Jua hupata nishati yake kutokana na Mungu anaetaka kafara za damu.Lakini kwa sasa tunajua mpaka mambo ya nuclear fission.
Hivyo eti kisa hatujui ndio tuache kujiuliza na kuchunguza, kama ni hivyo dunia ingekuwa nyuma sana kwa sasa.

By the way hata huo mfano wa mimba uliotoa watu wa zamani walikua hawayajui hayo.Ila kwa sasa kuna maelezo mengi tu kisayansi na tunajua vitu vingi tu kuhusiana na mimba.
 
Mimi ni mwanasayansi na mwanateknolojia hapo baadae.

Mada nyingine ni za kijinga kweli!

Kwa hiyo kwa sababu mashoga na wasagaji ni wachache kuliko waliostraight inamaanisha wao wako sahihi????

Mnahoji Mungu, kila saa Mungu, kila siku Mungu, kwani mnamdai mini Huyo Mungu?

Kama uhai ni kitu rahisi hivyo mbona kwa maendeleo ya sayansi na technology tulonayo hatujaweza kuumba hata jani tu achilia mbali sisimizi?

Wewe kukosa uwezo wa kufikiri sawasawa usianze kumsingizia Mungu wala dini.

Hivi unamfahamu Sir Isaac Newton?
Na unajua uwezo wake kiakili ulikuwaje?
Na unajua alikuwa anaamini mini kuhusu Mungu?
Na unajua kazi zake nyingi zilikuwa zinahusu nini?

Ngoja nikwambie kitu, hata kutokuamini Mungu inaweza kuwa dini pia.

Afrika kwa sehemu kubwa mpaka sasa watu hawaamini katika dini.

Angalia wasukuma wengi hawajui Kanisa wala Msikiti, haya uwezo wao kiakili ukoje?

Tuache upuuzi wa kumhoji Mungu tukijiona ndio tuna Miakili Mingiiiii kumbe ni majinga tu!
Kaka basi pole pole utamuua mtoto wa Mwanaume mwenzio.
Muhurumie bure Mkuu, maana hawa viumbe wengine hawajui walitendalo hapa duniani zaidi ya kupeana stori za hapa na pale wakiwa vijiweni bila ya kufikiri kiupana zaidi matokeo ya kitu wanachokijadili.
 
Kushindwa kujua kwa sasa haimaanishi haiwezekani kujua.Watu wa Aztec zamani waliamini Jua hupata nishati yake kutokana na Mungu anaetaka kafara za damu.Lakini kwa sasa tunajua mpaka mambo ya nuclear fission.
Hivyo eti kisa hatujui ndio tuache kujiuliza na kuchunguza, kama ni hivyo dunia ingekuwa nyuma sana kwa sasa.

By the way hata huo mfano wa mimba uliotoa watu wa zamani walikua hawayajui hayo.Ila kwa sasa kuna maelezo mengi tu kisayansi na tunajua vitu vingi tu kuhusiana na mimba.
Jibu katika nilichokuuliza siyo kutoka nnje ya mada husika, wewe ulikuwepo katika nyakati za huko zamani?

Mimi niko katika nyakati hizi, so nijibu nilichokuuliza na kama hutaweza kujibu basi ni heri ukakapotezea tu sababu pia hautaonekana we ni mjinga, na hata ukionekana we ni mjinga hakutakushushia hadhi ya kutokuwa Binadamu sawa na mimi.
 
"ETC" END OF THINKING CAPACITY.
Labda ni declare interest Mimi sio kwamba siamini Mungu yupo,Naamini yupo.Ila kuna kipindi huwa nawachukia mnaojifanya mnamtetea Mungu humu kwa sababu huwa naona mnajichosha kwenye mambo ambayo hayawezi kuthibitishika zaidi za kuamini tu.
 
K

Kitu gani sijakijibu? Afu nimesoma maelezo yako sijaona swali.Nisaidie kunionyesha nikujibu
 
Usilazimishe Watu kuwa katika mfanano wa tabia yako nakati tuko tofauti kwa kuzidiana kwa kila kitu kama upeo wa kuona mbali, akili/uelewa, maarifa, nguvu, imani, tabia, maumbile, self interests/hobby, matakwa na matamanio, malengo, vipaji/karama/vipawa, nguvu ya kukubalika katika jamii(charismatic) na mengine mengi tu.

So we usihangaike kutaka kuwazuia watu waache kujadili wanachopendezwa kwacho na kuona kinawafaa sana kuhusu kutetea uwepo wa Mungu wao maana hiyo ndiyo dunia, na uliikuta hivyo, utaishi kwa uwepo wa Watu hao hao na utakufa utaiacha dunia ikiendelea kuwa katika uhalisia huo huo.

My name is...
 
K
Kitu gani sijakijibu? Afu nimesoma maelezo yako sijaona swali.Nisaidie kunionyesha nikujibu
"Hatimaye mke wako hupata ujauzito ambapo wote hamjui namna ulivyojitunga, si sekunde, dakika, saa, siku, mwezi, mwaka wala aina ya kiumbe kilichojitunga tumboni mwa Mke(ME/KE) kwa wakati husika wa kutungwa kwa huo ujauzito(kiumbe)."

Hii sms kuhusu ujauzito na vigezo vyake hapo juu, una uwezo wa kujua lolote kabla na baada ya kukutana na mkeo katika kujamiiana kwenu siku hatarishi za Mkeo kushika ujauzito?
 
Mbona yote uliyouliza kisayansi yanaelezeka vizuri tu.Tunazijua Siku za hatari na mimba inavyotungwa hadi mda na aina ya mtoto.Mbona vyote hivi biolojia haijaacha kitu.

Ni kazi kwako tu kujifunza
 
Mbona yote uliyouliza kisayansi yanaelezeka vizuri tu.Mbona Sayansi tayari inatambua namna mimba inayotungwa,Siku za hatari na vitu vingi tu kuhusu aina ya mtoto.

Kitu kipya kwenye swali lako sijakifahamu.
 
Kwa nini unakadhania muundaji na isiwe tulitokea tu,kutokana na forces kwenye space
Mkuu hapa nipo shule najifunza,kwahyo nitafurahi ukinielekeza/kunifunza mie nisiyejua ni jinsi gani universe na vilivyomo ndani yake vilipata kutokea/kujiunda kwa kupitia hizo force na pia asili ya hizo force ni ipi?
 
Mbona yote uliyouliza kisayansi yanaelezeka vizuri tu.Tunazijua Siku za hatari na mimba inavyotungwa hadi mda na aina ya mtoto.Mbona vyote hivi biolojia haijaacha kitu.

Ni kazi kwako tu kujifunza
NIMEKUULIZA KWA SEKUNDE HIYO HIYO, SIYO BAADA YA WIKI, MWEZI NA MIEZI, THINK WIDELY.

My name is...
 
Asante kwa utafiti Brother.
...
.nataka kujua wanaotumia hii Ni wengi au wachache?
IMG_20181216_190254.jpeg
 
ANGALIZO: Kama suala la Mungu ni suala lisilopaswa kuhojiwa, basi mada hii haikufai!!

Ukweli mchungu ni kwamba, dunia imejaza watu ambao uwezo wetu wa kufikiri upo below the average! Kutokana na ukweli huo, mara nyingi kama sio zote, upande wa wengi unakuwa ndio upande wa losers na wachache wanakuwa ndio wamepatia!!

Haijalishi ni wapi! Hata Marekani, majority ni wale walio below the average kwa kuzingatia viwango vya Marekani na kwahiyo wao ndio losers katika nyanja husika!

Ukienda Korea ya Kusini au popote pale, nako ni hivyo hivyo… watu wengi wanakuwa ndio below the average na kwa maana nyingine wanakuwa kwenye losing side na wachache ndio wanaokuwa wamepatia!

Dunia ina rundo la maskini (losers) ukilinganisha na matajiri (waliopatia)!

Rudi darasani wakati ulipokuwa mwanafunzi! Majority ni wale waliokuwa kwenye losing side! Kama ni average school, Div I & II ni chache (waliopatia) lakini itajaza losers wa Div IV! Hata hizo Div I, Div I kali (waliopatia) zitakuwa ni chache ukilinganisha na Div I za mafungu (losers among Div I's)!

Hata kwa best schools kama Mzumbe, Ilborou, Tabora Boys/Girls, Feza, Marian n.k; majority wanakuwa kwenye losing side kwa viwango vya shule hizo! Kama ni Form VI, Div I Point III & IV (waliopatia) utapata chache huku shule zikijaza Div I za kawaida (losers)!

Hata ukienda Harvard, MIT n.k; kote huko hali ndo hivyo hivyo!!! Dunia imeshuhudia akina Newton wachache zaidi (waliopatia) ukilinganisha na akina sie! Imeshuhudia greatest philosophers wachache zaidi ukilinganisha na average philosophers!

Hata ukija kwenye Sanaa, kati ya mamilioni ya wasanii duniani, ni wachache tu ndio walio kwenye winning side lakini majority ni losers!

Tumia mfano mwingine wowote kwenye njanja yoyote hata ile ya kipuuzi kabisa kisha tujuzane wapi majority wamekuwa kwenye wining side!!!

Kinyume chake, source mbalimbali zinaonesha Waislamu, Wakristo na Wayahudi wanatengeneza zaidi ya 57% ya watu wote duniani.

Wote hao wanaamini katika Mungu… Mungu Mmoja!!

Inawezekana takwimu hizo zisiwe sahihi lakini ukweli usio na shaka ni kwamba, nchi kama Tanzania, Waislamu na Wakristo ndio wanaounda idadi kubwa ya watu kuliko wasioamini katika Mungu! Je, ni kwamba hapa ndipo tumepatia by exceptionalism?

Nenda Kenya, Afrika Kusini, Marekani na nchi kadhaa za Ulaya, Mashariki ya Kati na Amerika; kote huko idadi kubwa maradufu ya population ni Wakristo na Waislamu wanaoamini katika Mungu!

NOW, ikiwa ushahidi usio shaka unaonesha kwamba upande wa wengi ndio losing side; vipi katika hili la Mungu?!

How come kwenye jambo complex kama hili majority wawe ndio waliopatia?!

Je, inawezekana sote sisi tumepotea kwa sababu inadhihirika wazi kwamba, a larger subset kwenye nyanja mbalimbali ndiyo inakuwa haijapatia?!

c.c Malcom Lumumba, zitto junior, Mkuu Palantir, nimeona wito wako kwenye mada ya Michael Jackson na Cloning... just bad week, but naja!

Kama wengi ndio losers, ungeweza pia kutumia takwimu hizo hizo kusema wengi ni vichaa (yaani tukichukulia idadi ya Tanzania milioni 55 - useme at leat 75 ni vichaa na asilimia iliyobaki (25 au pungufu ya hapo) ndiyo wazima tu? Lakini nijuavyo miongoni mwa wasomi wakubwa duniani ni pamoja na wanaomini uwepo wa Mungu. Mfano tukichukulia wanasayansi wafuatao ambao ni believers wamegundua mambo mbalimbali. Je hapa unasemaje na hawa ni sehemu ya losers kwa vile wanaamini na baadhi ya yale waliyogundua ndiyo dunia inayotumia leo pia
? List of Christians in science and technology - Wikipedia, List of Muslim scientists - Wikipedia etc.
 
Back
Top Bottom