😀😀 ya kumalizia pilau la Maulid au sio?Andaa maturubai mheshimiwa
😅😅Umenikumbusha wakati nipo mtoto, jirani yetu alikua na magari mengi mabovu,tulikua tunaenda kwake tunaiba vyuma tunaenda kuuza screpa,.
Jirani kila akiuliza sisi kimya,.akasema sawa ila
"yeyote anaeiba machuma kwao watafunga maturubai,nasoma albadili watakufa mmoja baada ya mwingine..Ila atakae kuja kwangu kwa magoti na kuomba msamaha,hatakufa"
Mimi na jamaa yangu tulienda tunalia,.akatusamehe na tukampromise kua hatuibi tena..
We were all kids once(and dumb).
hivi kwa mfano akifika hapo getini, na akukuta hizo tunguli fake hapo nje ya geti, si anaweza kurudi alikotoka kwa kutoka nduki, au ataingia tu hivyo hivyo tu kwa kujikaza kisabuni?🐒Yesu anakuja!
Mwenye summary anisaidie
Hapana mkuu! Namhurumia mtoa mada, maana atakimbia na kuliambia tunguli lake limwangukie maana haji kama mara ya kwanza this time ANAKUJA kama king of kings!hivi kwa mfano akifika hapo getini, na akukuta hizo tunguli fake hapo nje ya geti, si anaweza kurudi alikotoka kwa kutoka nduki, au ataingia tu hivyo hivyo tu kwa kujikaza kisabuni?
Kwamba hataki wanawake wamfuate mwanaume wake wa sasa?Mleta mada kajitangaza mchawi kuzuia usumbufu
Anayetetwa n yule ambaye hayupo eneo husika, ww upoDaah!
Wanaume nyie kwa kuchamba umbea
Huyu ni mimi mnayeniteta😅
Kwa hiyo hata tunguri fake ni dhambi.Hapana mkuu! Namhurumia mtoa mada, maana atakimbia na kuliambia tunguli lake limwangukie maana haji kama mara ya kwanza this time ANAKUJA kama king of kings!