Imani za kishirikina zimenisaidia tena kutatua jambo nililolikatia tamaa

Imani za kishirikina zimenisaidia tena kutatua jambo nililolikatia tamaa

hivi kwa mfano akifika hapo getini, na akukuta hizo tunguli fake hapo nje ya geti, si anaweza kurudi alikotoka kwa kutoka nduki, au ataingia tu hivyo hivyo tu kwa kujikaza kisabuni?🐒
Haa haa 😂vipi mkuu umesharudi town
 
Aisee hii kama Tamthilia za jua Kali maisha safiii Nini 😁 hakuna njaa kali
 
Back
Top Bottom