Pia ninacho kipaji cha kuwapelekea moto,kama huamini nipe nafasi hutajutia,tena utajilaumu ulichelewea wapi siku zote?Watu wenye usonji mna vipaji.
Wewe una kipaji cha ukomedian⁸
Mnavuna mlichopandaR.I.P Magufuli bila kutujengea bwawa la umeme sasa hivi tungekuwa kwenye bonge la mgao wa umeme maana waliokufuatia hamna wanachofanya zaidi ya kufukuzana tu
Polee sanaa mkuu....Jirani ni ndugu yako mpendaneNdio naishi Buza uwanja wa fisi mkuu.
Yes maua yangu sipendi yaharibiwe.
Hadi chungu mnacho muongezee mkague huko chumbaniAnataka kuwa pastor.
MImi na yeye tunajua uganga ni myth tu.Kweli kana kitu kakijana kangu.Katafika mbali
Nimekusamehe dada mlale salama🫣Nimelog in nikutukane ila kicheko kimenijia ghafla nikqghqiri.😃😃
Barikiwa sana boss wangu.
😃😃😃
Mwenye summary anisaidie
Sikusoma kabisa,Ulisoma shule gani ya watoto wenye mahitaji maalum?
Unaandika vizuri mtu hawezi kujua una usonji.
Kwani ulijitangaza mchawi au mshirikina tu?Nimependa jinsi umeweka liuzi langu lirefu kwenye sentensi moja fupi