Imani za kishirikina zimenisaidia tena kutatua jambo nililolikatia tamaa

LINDA MGONGO
 
Uzuzu uliniponza! Sikujua kumbe "ushirikina ndio maisha yenyewe" hakika nawaambia bila ushirikina hutoboi. .Dini ni danganya toto tu.Endelea kusubiri maisha ya mbinguni ufe masikini.
 
Kwa hiyo hata tunguri fake ni dhambi.

Ila hii sio haki.
Yaani wakati naharibiwa Yesu hajanisaidia,nimejiongeza na tunguri fake bado awe na guts za kunihukumu!!.
Ooooh! mimi nimeona heading nika comment mkuu! sijui hata thread ina maana gani mkuu!
 
Naomba picha ya icho chungu na mimi nilinde mahindi yangu😁
 
Sasa siku moja mwanangu akanambia kapata idea ya kufanya yule mama azuie watoto wake wasije tena kuharibu.Akanambia mama tutishie kuwaloga.Nikamwambia how.Akasema subiri utaona.
Ila huyu huyu mwanao ana kitu asipokuwa mganga bahati.
 
Hukuona ule uzi anaomba wanaume tumpe mbinu za kuishi na mme wake mpya kwani amebahatika kumpata mwanaume sasa baada ya kuwa singo maza kwa muda mrefu na kuchoshwa na msoto?
JF VAR CHECK

 
Reactions: ---
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…