Imani za kishirikina zimenisaidia tena kutatua jambo nililolikatia tamaa

Kuna aliyesoma akamaliza afanye samari tuelewe?
 
Ila huyu huyu mwanao ana kitu asipokuwa mganga bahati.
Anataka kuwa pastor.
MImi na yeye tunajua uganga ni myth tu.Kweli kana kitu kakijana kangu.Katafika mbali
 
Unaushi uswahilini mkuu....adi maua ni ya kugombana na jirani
 
R.I.P Magufuli bila kutujengea bwawa la umeme sasa hivi tungekuwa kwenye bonge la mgao wa umeme maana waliokufuatia hamna wanachofanya zaidi ya kufukuzana tu
Mnavuna mlichopanda
 
Pia ninacho kipachi cha kuwapelekea moto,kama huamini nipe nafasi hutajutia,tena utajilaumu ulichelewea wapi siku zote?
Ulisoma shule gani ya watoto wenye mahitaji maalum?
Unaandika vizuri mtu hawezi kujua una usonji.
 
Kasema dawa ya wachokozi chukua chungu na mdoli weka mchanga ka unga kidogo pigilia sindano mbili huyo mdoli weka getini kwako utatukanwa na kila mpita njia na wageni watakata mguu kwako🤣🤣🤣🤣
😃😃😃
Kumbe wewe ni kaongo!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…