Imani za kishirikina zimenisaidia tena kutatua jambo nililolikatia tamaa

hivi kwa mfano akifika hapo getini, na akukuta hizo tunguli fake hapo nje ya geti, si anaweza kurudi alikotoka kwa kutoka nduki, au ataingia tu hivyo hivyo tu kwa kujikaza kisabuni?πŸ’
Haa haa πŸ˜‚vipi mkuu umesharudi town
 
Natuma app sasa πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ’―πŸ’―πŸ’―
 
Aisee hii kama Tamthilia za jua Kali maisha safiii Nini 😁 hakuna njaa kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…