Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Hao jamaa wana akili kuliko sisi ndiomaana tumewazidi rasilimali na wao wametuzidi utajiri,
... lango (entry/exit) likishadhibitiwa na third-party umekwisha! Hawa CCM sijui wana akili za aina gani.Indeed tuna majitu majinga sana, tuna gas ya matrillion lakini wananchi wengi bado wanatumia kuni, imagine gas kama ile bado tuna migawo ya umeme na uliopo ni very expensive, tuna ardhi safi, maziwa na mito ya kuzalisha mpaka tukauza nje lakini hata mafuta ya kula na sukari tunaagiza kutoka nje, dhahabu tunachimba tangu 90's lakini hatuna hata dollar ya kuagiza mafuta, hatuna cha kuonyesha kwa huo utajiri zaidi ya mashimo waliyotuachia mabeberu, sasa wanataka kuuza bandari, maziwa na anga, hawa mbwa wata control mpaka maji yetu ya kunywa au ya kilimo tusipoangalia, DP ikataliwe kwa nguvu zote
Yaani masikini wa mwisho anapomcheka tajiriKwa faida ya wengine Mubadala ambayo ndio hela za Uae kwa ajili ya kuwekeza Nje zimewekeza makampuni zaidi ya 200, tena kampuni za maana kama
-Telegram
-reliance jio mtandao wa India
-Global foundries watengenezaji Processor
-Softbank walimiliki Alibaba na Aliexpress
-JD duka kubwa la china
-wana share Wymo kampuni ya Google etc
Kwa Ujumla Mubadala pekee inamiliki Mali zenye thamani zaidi ya Dola Bilioni 300
Hiki ni Ki nchi kidogo chenye watu milioni 1 tu.
Hawa wanaweza kutumia hata mabavu inavyoashiria sasa. Hasa ukichanganya na wadini uchwara wasiojitafakari!Baada ya sakata kuendelea kupamba moto huku na huku. Imenibidi nianze kuifuatilia United Arab Emirates. Nimefuatilia historia yao na mimefuatilia uchumi wao.
Chanzo kikubwa cha mapato katika nchi yao ni mafuta. Hiki ndicho chanzo kikubwa cha mapato.
Sasa cha kushangaza kabisa ni kutokana na mafuta kuisha. Kulingana na estimate za kitaalam mafuta hayo ndani ya miaka 18 yatakuwa yameisha.
Ka nchi ni kadogo na jangwa kila kona. Wanaona kabisa anguko lao linakuja kwa kasi.
Dalili za Nauru zinawanukia kwa kasi. Sasa wanatafuta kwa nguvu zote na kwa hila zote makoloni au ardhi katika nchi zingine.
Wanajaribu kutengeneza artificial tourism na vitu vingine vingi ili kuweza kujinusuru. Lakini kusema kweli anguko lao li karibu. Ndani ya miaka 18 tutashuhudia mengi mno yakiwapata.
Sisi kama nchi hatutakiwi kabisa kutumia natural resources zetu kwa pupa. Zipo wala haziozi. Tuzitumie kwa umakini sana.
Nitaendelea kueleza na kuleta references.
We ndo mana unaitwa kilaza una google google tu hata huelewi maana zake.Salamaleko
View attachment 2723460
Mdogo wangu mimi ni kichwa Math. Je, unajua calculus?We ndo mana unaitwa kilaza una google google tu hata huelewi maana zake.
Chukua kilichoandikwa hapo juu kwenye screenshot yako Dubai ilipeak 1991 kwa kuproduce barel 400,000 kwa siku hizo ni data za zamani siku hizi hawana uwezo huo ila kukuelewesha zinatosha.
Zidisha 400,000 x 100 unapata thamani ya barel kwa siku ni Dola 40,000,000 Zidisha kwa siku 365 Unapata Dola Bilioni 14.
Gdp ya Dubai ni Dola Bilioni 500 hebu nielezee Genious kama mafuta hayafiki hata Dola Bilioni 20 hizo zaidi ya Dola Bilioni 400 na zaidi zimetoka wapi?.
Ndio maana wanakuja kwa kasi Africa na viongozi wetu bila aibu au soni wanagawa raslimali zetu kwa" vipande vya fedha"Dalili za Nauru zinawanukia kwa kasi. Sasa wanatafuta kwa nguvu zote na kwa hila zote makoloni au ardhi katika nchi zingine.
Ngoja nikupatie maelezo marefu kidogo kuhusu ndugu zako. Na ujue kuwa hawana futureWe ndo mana unaitwa kilaza una google google tu hata huelewi maana zake.
Chukua kilichoandikwa hapo juu kwenye screenshot yako Dubai ilipeak 1991 kwa kuproduce barel 400,000 kwa siku hizo ni data za zamani siku hizi hawana uwezo huo ila kukuelewesha zinatosha.
Zidisha 400,000 x 100 unapata thamani ya barel kwa siku ni Dola 40,000,000 Zidisha kwa siku 365 Unapata Dola Bilioni 14.
Gdp ya Dubai ni Dola Bilioni 500 hebu nielezee Genious kama mafuta hayafiki hata Dola Bilioni 20 hizo zaidi ya Dola Bilioni 400 na zaidi zimetoka wapi?.
Duuuh! Ndio umeandika upuuzi gani hapa? Nani anategemea rasilimali zako kuendesha maisha yake? Achana na stori za vijiweni wewe ishi kwenye uhalisia, wewe unategemea utalii ila mwenzio anaingiza pesa nyingi kwenye utalii kuliko weweMtu mwenye akili kuliko wewe hawezi kutegemea vitega uchumi vyako wewe husie na akili kuendesha maisha yake, vinginevyo hana akili ila ni mjanja na mlaghai .
"Madini hata kama yako mbugani lazima tuyachimbe. Wataweka wawekezaji. Roho iliniuma sana. Toka hapo niliona huyu mama kaja kutapanya na kuharibu mali ya wa Tanzania. Nilijua hatuna kiongozi."Nilifika nchi moja hivi huko nje. Ni tajiri na wanakila kitu. Nikaingia katika duka la sonara nilikuwa na mkufu wangu wa silver nilihitaji usafishwe.
Ndipo nikapata kuongea na yule sonara alikuwa ni mtu mzima hivi mpersia alie hamia miaka mingi Ulaya toka miaka ya 70.
Alinambia unajua hii nchi wana dhahabu nyingi tu. Sikumuelewa. Nikamwambia mbona hawachimbi? Ndo akanambia wazungu wajanja. Dhahabu yao wamehifadhi kwa vizazi vijavyo. Ndo maana hawataki ichimba sasa.
Hapo hapo nikamkumbuka Mwl. Nyerere alie sema ni heri tusichimbe madini yetu. Siku vizazi vyetu wakipata ujuzi watachimba wao.
Mkapa akamuona Nyerere mjinga akaamua kuleta wawekezaji. Walichimba hadi meneo mengine tayari madini kadhaa yameisha, tumebakiwa na mashimo makubwa hata kufukia huwezi.
Ndo maana Nyerere kwenye migodi aliweka kambi za jeshi na kuanzisha hifadhi za wanyama kuliko kuwa na madini.
Nilishituka na kauli ya mama Samia mapema sana, alipotwaa madaraka akasema madini hata kama yako mbugani lazima tuyachimbe. Wataweka wawekezaji. Roho iliniuma sana. Toka hapo niliona huyu mama kaja kutapanya na kuharibu mali ya wa Tanzania. Nilijua hatuna kiongozi.
Nilijaribu kuandika humu lakini ilifutiliwa mbali. Ushabiki ni mbaya ebu watanzania tuwe na uchungu na maliasili ya nchi yetu. Kuna kundi la uongozi wapo kujinehemesha kwa namna yoyote wao na familia zao. Wakati nchi inauzwa. Alisema Ndungai ila kwakua tunaushabiki tulimtukana na kumuona hafai.
Huyu mama au Rais Samia hana mema na Tanzania, kuna ndoto nilimuota, narudia huyu mama si mtu mzuri. Anaongea maneno matamu lkn moyo wake huko mbali. Na nirahisi kutumiwa ili kugawa maliasili zetu.
Pole sanaWaislam wametawala nchi hii miaka 15. Ndio maana umaskini umekuwa mwingi.
Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda poleni sanaWanawaza kuuza au kugawa bure wakiamini watarudishiwa na Allah.
What is GDO?Mafuta ni ten percent ya GDO yao.
Tishio la uchumi wao linatokana na questionable deals katika real estate .
Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda poleni sanaHuu ni ukweli mchungu
Hamudan unasumbuka sana. Unadhani Tanganyika ni kisiwandui siyo?Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda poleni sana
Ni zaidi ya kisiwa ndui lakini ndio hivo tena tayari hiyo Bandari imeenda poleni sanaHamudan unasumbuka sana. Unadhani Tanganyika ni kisiwandui siyo?
Mipasho pelekeni Pemba au Chukwani. Humu JF tunaongea factsNi zaidi ya kisiwa ndui lakini ndio hivo tena tayari hiyo Bandari imeenda poleni sana
Hivi wewe kweli unaijua UAE?Baada ya sakata kuendelea kupamba moto huku na huku. Imenibidi nianze kuifuatilia United Arab Emirates. Nimefuatilia historia yao na mimefuatilia uchumi wao.
Chanzo kikubwa cha mapato katika nchi yao ni mafuta. Hiki ndicho chanzo kikubwa cha mapato.
Sasa cha kushangaza kabisa ni kutokana na mafuta kuisha. Kulingana na estimate za kitaalam mafuta hayo ndani ya miaka 18 yatakuwa yameisha.
Ka nchi ni kadogo na jangwa kila kona. Wanaona kabisa anguko lao linakuja kwa kasi.
Dalili za Nauru zinawanukia kwa kasi. Sasa wanatafuta kwa nguvu zote na kwa hila zote makoloni au ardhi katika nchi zingine.
Wanajaribu kutengeneza artificial tourism na vitu vingine vingi ili kuweza kujinusuru. Lakini kusema kweli anguko lao li karibu. Ndani ya miaka 18 tutashuhudia mengi mno yakiwapata.
Sisi kama nchi hatutakiwi kabisa kutumia natural resources zetu kwa pupa. Zipo wala haziozi. Tuzitumie kwa umakini sana.
Nitaendelea kueleza na kuleta references.
Kwahiyo unadhani siijui UAE? Hebu ondoa utoto basi.Hivi wewe kweli unaijua UAE?
You must be joking.