Imedhihirika Hakuna kiongozi wa Upinzani Mwenye uwezo wa Kufanya Mdahalo na Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi

Angekuja kwenye mdahalo ili tuone kama hakuna wa kufanya nae mdaharo!
 
Dakta Nchimbi aliingia Mitini na Nchi nzima iliona na kusikia sasa wanakutuma wewe uje ujaze serva za JF kwa kububujikwa na Uharo.
 
Hivi Akina mwashambwa niwatu wa wapi?
 
Mi nadhani makatibu wengine walihairisha mdaharo siku ile kwa sababu wengi walienda pale wakiwa na maswali yao muhimu na mtu pekee alietakiwa kuulizwa hakufika.

Unadhani kwamba Mnyika anaweza kumuuliza kativu wa ACT juu ya utekaji na mfumuko wa bei!
Basi wangeupa jina lingine na siyo kusema mdahalo.
 
Dakta Nchimbi aliingia Mitini na Nchi nzima iliona na kusikia sasa wanakutuma wewe uje ujaze serva za JF kwa kububujikwa na Uharo.
Nimeshatoa ufafanuzi kuwa alikuwa kwenye vikao vizito sana vya sekretarieti ambapo yeye anakuwa ni Mwenyekiti wa vikao hivyo. Kwa hiyo ulitaka aache vikao hivi vizito vinavyotoa Dira na muelekeo wa nchi ,halafu aende huko kwenye kuulizwa maswali ambayo hata mimi naweza kuwajibu hapa jukwaani?
 
Kwanini aahidi kuwa atahudhuria?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…