Imejitokeza sintofahamu ya watoto kupotea na kukutwa wakiwa wamefariki huku miili yao ikiwa haina baadhi ya viungo, mamlaka ichuke hatua stahiki

KOMPTUTA IKIKOSEA HUWA KUSEMA IMEKOSEA NI NGUMU.POLISI WAPO KWA AJILI YA KULINDA WANASIASA WA CCM SIO MALI NA USALAMA MAMBO MENGINE
 
Utakuta wanapaki magari yao ya hadhi ya kifalme pembezoni mwetu kumbe wameyapata kwa damu. PESA ZINASIRI NZITO MNO.
na maranyingi hizo gari zinakua mapembezoni mwa shule wanajifanya wanawapa watoto lift kumbe wanania ovu
 
Mimi naishi CHAMAZI hili Jambo ni kweli na pia shule zote za maeneo haya tumeambiwa wazazi kuwapeleka shuleni asubuhi na kuwafata jioni.
Polisi wetu ni hodari wa kuteka Tu lkn kwenye ishu muhimu kama hizi huwezi kuona wanasaidia wananchi wake
 
Kuna tukio moja la temeke lilitangazwa kwenye radio wiki iliyopita
 
Dah hii habari imenihuzunisha sana, Leo pia nimeona kwenye whatsap groups kuna picha inasambazwa ya House girl mmoja amemchinja mtoto Goba ,akakimbia

Haya mambo yanaleta huzuni sana kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…