Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kazitafute.Nioneshe top 100 ya nchi zenye amani duniani
SijuiIdadi ya watoto wangapi wameuawa wapi huko
Na ndio mana ukisoma maandiko ilifika mahali Mungu mwenyewe alihuzunika sana kumuumba binadamuInasikitisha sana ,binadamu wana tamaa sana.
Ni Tz maeneo ya wilaya ya temeke na wilaya ya mkurangaOngeza nyama, hii forum inatumiwa Afrika mashariki nzima(Tz, Kenya na Rwanda kwa sana) wapi huko exactly??
ni kama maelezo niliyo yatoa hapo juu na hao ni wale niliokua na taarifa nazoIdadi ya watoto wangapi wameuawa wapi huko
hajathibitika kwa asilimia zote lakini kwa nini haya matukio yanatokea ukikaribia uchaguzi?Kwani imethibitika kuwa kuna mwanasiasa yoyote anahusika mpaka sasa?
Mbona Tz nimeikuta?Kazitafute.
Una Google, una social media zote.
Ila huna uhakika wa nani ni muhusika wa matukio haya. Usikimbilie moja kwa moja kuleta conclusion.hajathibitika kwa asilimia zote lakini kwa nini haya matukio yanatokea ukikaribia uchaguzi?
Hizo ni takwimu za kwenye makaratasi lakini uhalisia sivyo.Mbona Tz nimeikuta?
Sasa mbona mwanzo ulisema Tanzania haipo hata Top 100. Ulitumia Source gani?Hizo ni takwimu za kwenye makaratasi lakini uhalisia sivyo.
Tunajitangaza sana huko nje kwamba Tz ni nchi ya Amani lakini uhalisia wa ndani ya nchi sivyo.
Tuombe MUNGU uchaguzi mkuu upite kwani haya yote yataisha!!!Wakuu amani ya Mungu iwe nanyi.
Kumekua na taharuki kwa wakazi wa Temeke, Tandika, Mbagala na Vikindu kwa ujumla wake.
Imejitokeza sintofahamu ya watoto kupotea na kukutwa wakiwa wamefariki huku miili yao ikiwa haina baadhi ya viungo.
Majuma kadhaa yaliyopita maeneo ya Mbagala Mgeni nani miili ya watoto imekutwa huku baadhi ya viungo vikiwa havipo.
Pia soma: Ukatili: Mtoto auawa na kukatwa sehemu za siri
Wiki iliyoisha maeneo ya Tandika mtoto wa jirani yangu alikoswa kuchukuliwa na watekaji mara baada ya kufanya jaribio la kumteka mtoto, bahati nzuri mtoto alikimbia na kuja kusimulia kwa wazazi wake.
Juzi maeneo ya Kisemvule inaripotiwa mama mjamzito amekutwa amefariki huku sehemu zake za siri zikiwa zimenyofolewa.
Jana maeneo ya vikindu(kazole) nimepewa taarifa ya kukutwa kwa miili ya watoto wawili wanaodaiwa kuwa na miaka kati ya 11 mpaka 14 ikiwa haina baadhi ya viungo.
Vyombo vya habari mpaka sasa sijasikia ikiripoti tokio lolote kati ya hayo juu au yanayo shaabiana na hayo.
Rai yangu kwa mamlaka husika tunaomba wanaotenda haya matukio muwashughulikie haraka sana watatumalizia watoto wetu na jamaazetu.
====
Pia soma: Kagera: Mwanafunzi auawa, mwili watupwa kichakani
Jamani nini hiki...Jana imetokea kisewe/mbande mtoto wa rafiki yangu
Hajarud shule juziJamani nini hiki...
Wamemfanyaje?
Polis wanaficha ila nakwambia mimi jana kishinda juzi,,, uliza mtu alioko kiseweMbon serikali iko kimya??
pengine polisi wanafaham hii ishu ila wapo kimyaPolis wanaficha ila nakwambia mimi jana kishinda juzi,,, uliza mtu alioko kisewe