Wewe mpumbavu kweli kweli! Kwani hiyo ni gari ya serikali iliyonunuliwa na kodi zetu? Kama anakula milo miwili ili aihudumie gari yake inakuhusu nini wewe mjinga? Kama alijibana ili ainunue shida iko wapi kwa Watanzania wengine?Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
Kinachogomba ni serikali kutuwekea lundo la matozo ili viongozi wanunuliwe hayo magari ya kifahari. Kama viongozi wanataka kutumia magari ya kifahari wajinunulie na hakuna atakayewapigia kelele kwa kuwa watakuwa wametumia fedha zao.
Sisi wananchi hatutaki kulundikiwa matozo ambayo hayana manufaa ya kimaendeleo kwetu. Hatutaki matozo ambayo yanawanufaisha viongozi halafu sisi wananchi tunabaki tunalia maisha magumu!