Imekaaje Tundu Lissu kudai gari yake ni V8 ya kisasa ila anaitaka Serikali ibane matumizi?

Imekaaje Tundu Lissu kudai gari yake ni V8 ya kisasa ila anaitaka Serikali ibane matumizi?

Nilitazama na kusikiliza kabla yako..!

Unadhani, nani anaweza kuwazuia kupiga propaganda zenu mfu..?

Huwezi kuwazuia ndege kuruka juu ya kichwa ila unaweza kuwazuia wasijenge kiota kwenye kichwa chako..!

Tunachotofautiana ni katika kufanya choices. Umechagua kuzusha na kusema uongo. Endeleeni lakini huwezi kujenga viota kwenye vichwa vyetu..
Hakusema V8 ya kisasa yenye Kafridge katikati?
 
Basi tuachane nalo ila watu siyo wajinga kama unavyodhani
Ni kweli kabisa ndiyo maana Ikulu mtaisikia tu- mnaishi kifahari halafu mnatwambia mko na sisi wakati tunawaona kwa macho yetu mchana kweupe; si afadhali tubaki na wezi tuliowazoea kuliko kuanza na wezi wapya
 
Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
Ile ni gari ya serikali..alipewa kipindi yupo na cheo bungeni..sio gari binafsi..kumbe JF Kuna mbumbumbu nilifikiri wote wasomi..
 
Ni kweli kibisa ndiyo maana Ikulu mtaisikia tu- m naishio kifahari halafu mnatwambia mko na sisi wakati tunawaona kwa macho yetu mchana kweupe; si afdhali tubali na wezi tuliowazoea kuliko kuanza na wezi wapya
Kwanza nikujulishe unaongea na mtu ambaye si mwanachama wa chama chochote cha siasa.

Kilichokuzuzua ni nini, makochi ya nyumbani kwa Lissu au tiles maana sikuelewi unajua!
 
Kainunua kwa pesa yake au kwa pesa ya serikali?
Nikitumia pesa yangu kwa kula bata na totoz sio kosa ila nikitumia pesa ya serikali kufanya hivyo hilo ni kosa.
Lissu ana pesa gani? Hizo ni ruzuku za serikali na pesa za join the chain
 
Anapata wapi ujasiri wa kusema haya kwa majority ambao hata Afu tatu tu ya kununua mchele ni taabu.
Ni dharau tu, kwa kuwa yeye ana uhakika wa kupata walezi nje ya nchi basi anaona kila mtu ana maisha rahisi. Lissu ana kiburi naa dharau sana
 
Lissu ana pesa gani? Hizo ni ruzuku za serikali na pesa za join the chain
Mimi simfahamu zaidi ya kumwona kwenye TV na kukutana naye mara moha shoppers. Narudia kama hiyo gari kainunua kwa pesa yake ni sawa. Hatuzungumzii matumizi binafsi ya pesa binafsi tunazungumzia kupunguza matumizi yasiyo na tija kwa pesa ya umma
 
Lisu anashanga vijana wanavyo mpuuza ni kama wanamsanifu tuh
 
Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
Tundu Lissu ni msaliti wa taifa hili,pia ni wakara wa beberu
 
Back
Top Bottom