MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
CHADEMA wakiingia madarakani watafanya kufuru ya matumizi. Hawaishi wanachokisema. Wangeonyesha mfano kwa kutembelea Defender na sio hizo V8
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani gari yake amenunuliwa na serikali?Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
Yeye kanunua na pesa yake! Sisi tunakataa wasitumie kodi zetu kununua magari ghali kama hayo!Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
Aisee akili imedumaa! kha! kwamba wataishi kwa shida wakibana matumizi. Kwamba waibe na kukwapua hela zetu watumbue maisha wanavyotaka sisi tumezoea shida wao wamezoea raha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Tz pekeeKwanza sisi tushazoea maisha haya tunayoishi miaka na miaka huko kubana matumizi kwa serikali kutafanya viongozi wanaotakiwa kubana matumizi waishi Maisha magumu sana ambayo hawajazoea kabisa na sio malengo yao! Mimi binafsi nashauri km serikali inaweza kuongeza kidogo matumizi kwa kununua hizi LC300 V8 za kutosha ikiwezekana kila waziri na katibu mkuu kuwa nayo hata mawili kwa uchache maana Kuna dharula. Huyu Lissu asitupande kichwani
Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
Lissu anatuchonganisha mzee maana maisha haya ya wao kutumia wawezavyo tumeshayazoeaAisee akili imedumaa! kha! kwamba wataishi kwa shida wakibana matumizi. Kwamba waibe na kukwapua hela zetu watumbue maisha wanavyotaka sisi tumezoea shida wao wamezoea raha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Tz pekee
Naongelea viongozi,Wewe nawe ndio una hoja sawa, lakini haihusishi mali binafsi. Lissu, Mwigulu hata wewe mnayo haki kutumia gari ya aina yeyote lakini magari ya serikali ndiyo yanapaswa kwenda na hali halisi ya uchumi wa nchi.
Soon atakuwa kiongozi serikalini!!Naongelea viongozi,
Lissu ni kiongozi wa CDM, Soon atakuwa kiongozi Serikalini.
CDM inabidi ionyeshe mfano, ijitofautishe na CCM mapema.
Wananchi tuweke misingi mwanzoni ktk kuandika KATIBA mpya.
Naongelea viongozi,
Lissu ni kiongozi wa CDM, Soon atakuwa kiongozi Serikalini.
CDM inabidi ionyeshe mfano, ijitofautishe na CCM mapema.
Wananchi tuweke misingi mwanzoni ktk kuandika KATIBA mpya.
Matusi hayasaidii, usinijibu bila kutafiti ndugu MKANDAHARI.Mahojiano ni kuwa uliyasikia tu wewe na mamako au?
Ndio, atakuwa kiongozi baada ya kufanyika uchaguzi.Soon atakuwa kiongozi serikalini!!
Serikali mseto!!?Ndio, atakuwa kiongozi baada ya kufanyika uchaguzi.
Hakuna namna unaweza mwacha mtu aina ya Lissu nje ya Serikali ijayo.Serikali mseto!!?
Au ya ushindi kwa chama kipya!!?
Ni Kweli alisema hivyo,Serikali mseto!!?
Au ya ushindi kwa chama kipya!!?
Nabii wa ishara yule!alisema ccm haitaondolewa madarakani kamwe!!
Nimesahau jina lake yule nabii na akasema ajaye ni mjoli Baada ya Samia!!
Acha kudanganya watu wewe, kama lingekuwa la serikali angelidai Sasa kuwa arudishiwe gari lake?Mjinga wewe, Gari ka Lissu alipewa na serikali Ksma kiongozi wa upinzani bungeni.
Gari alilokywa abate mbele and ni la serikali na liko sawa na magari ya mawaziri
Hata Mbowe Gari alikokuwa anatumia 2015 mpaka 2020 lilikuwa la Bunge. Lilitolewa na serikali
Nimemsikia binafsi clouds,Mahojiano hayo nimesikiliza na hakuna mahali ametamka SENTENSI hiyo kwenye title. Najua ninachokisema. Unachukua maneno unaungaunga upate maana unayotaka wewe halafu unamlisha mtu, decency iko wapi?
Humjui Lissu wewe mtoto mdogo. Lissu no mwanasheria mkongwe na amefanya kazi za ndani Hadi nje ya nchi hawezi kuwa na umasikini huo mlionao Wana ccm mtegemeao wizi na rushwaLissu ana pesa gani? Hizo ni ruzuku za serikali na pesa za join the chain