Imekaaje Tundu Lissu kudai gari yake ni V8 ya kisasa ila anaitaka Serikali ibane matumizi?

Imekaaje Tundu Lissu kudai gari yake ni V8 ya kisasa ila anaitaka Serikali ibane matumizi?

CHADEMA wakiingia madarakani watafanya kufuru ya matumizi. Hawaishi wanachokisema. Wangeonyesha mfano kwa kutembelea Defender na sio hizo V8
 
Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
Kwani gari yake amenunuliwa na serikali?
 
Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
Yeye kanunua na pesa yake! Sisi tunakataa wasitumie kodi zetu kununua magari ghali kama hayo!
 
Kwanza sisi tushazoea maisha haya tunayoishi miaka na miaka huko kubana matumizi kwa serikali kutafanya viongozi wanaotakiwa kubana matumizi waishi Maisha magumu sana ambayo hawajazoea kabisa na sio malengo yao! Mimi binafsi nashauri km serikali inaweza kuongeza kidogo matumizi kwa kununua hizi LC300 V8 za kutosha ikiwezekana kila waziri na katibu mkuu kuwa nayo hata mawili kwa uchache maana Kuna dharula. Huyu Lissu asitupande kichwani
Aisee akili imedumaa! kha! kwamba wataishi kwa shida wakibana matumizi. Kwamba waibe na kukwapua hela zetu watumbue maisha wanavyotaka sisi tumezoea shida wao wamezoea raha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Tz pekee
 
Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa

..Kama mawaziri, ma-rc, ma-dc, wanatamani sana V-8 wananunue magari yao binafsi kama alivyofanya Tundu Lissu.

..sio sahihi viongozi watumie magari ya bei mbaya kwa kugharimiwa toka bajeti ya serikali au kodi zetu.
 
Aisee akili imedumaa! kha! kwamba wataishi kwa shida wakibana matumizi. Kwamba waibe na kukwapua hela zetu watumbue maisha wanavyotaka sisi tumezoea shida wao wamezoea raha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Tz pekee
Lissu anatuchonganisha mzee maana maisha haya ya wao kutumia wawezavyo tumeshayazoea
 
Wewe nawe ndio una hoja sawa, lakini haihusishi mali binafsi. Lissu, Mwigulu hata wewe mnayo haki kutumia gari ya aina yeyote lakini magari ya serikali ndiyo yanapaswa kwenda na hali halisi ya uchumi wa nchi.
Naongelea viongozi,

Lissu ni kiongozi wa CDM, Soon atakuwa kiongozi Serikalini.

CDM inabidi ionyeshe mfano, ijitofautishe na CCM mapema.

Wananchi tuweke misingi mwanzoni ktk kuandika KATIBA mpya.
 
Naongelea viongozi,

Lissu ni kiongozi wa CDM, Soon atakuwa kiongozi Serikalini.

CDM inabidi ionyeshe mfano, ijitofautishe na CCM mapema.

Wananchi tuweke misingi mwanzoni ktk kuandika KATIBA mpya.

..V-8 wanatumia mpaka Makatibu wa mikoa wa Ccm.

..kwa uelewa wangu makatibu wa kanda au mikoa wa Chadema hawatumii V-8 zilizonunuliwa na chama.

..mpaka hapo utaona kwamba Chadema hawana matumizi ya anasa na wamejitofautisha na Ccm.
 
Mahojiano ni kuwa uliyasikia tu wewe na mamako au?
Matusi hayasaidii, usinijibu bila kutafiti ndugu MKANDAHARI.

Amesema hayo mwanzoni alipokuwa akielezea namna Gani alivyoshambuliwa.

Alisema gari yake Ina friji ndogo kati ya dreva na alipokaa.
 
Ndio, atakuwa kiongozi baada ya kufanyika uchaguzi.
Serikali mseto!!?

Au ya ushindi kwa chama kipya!!?

Nabii wa ishara yule!alisema ccm haitaondolewa madarakani kamwe!!

Nimesahau jina lake yule nabii na akasema ajaye ni mjoli Baada ya Samia!!
 
Serikali mseto!!?

Au ya ushindi kwa chama kipya!!?

Nabii wa ishara yule!alisema ccm haitaondolewa madarakani kamwe!!

Nimesahau jina lake yule nabii na akasema ajaye ni mjoli Baada ya Samia!!
Ni Kweli alisema hivyo,

Bt kumbuka kuwa, utabiri wa nyuki na usiku wa chinolo haukutimia baada ya Serikali kutenda HAKI na kumtoa Mbowe gerezani usiku Ule Ule,

Hii Ina maana kuwa Mungu anaipenda maridhiano na KATIBA mpya.

Bt all in all Tusipoomba sana future ya nchi yetu ni ngumu sana.
 
Mjinga wewe, Gari ka Lissu alipewa na serikali Ksma kiongozi wa upinzani bungeni.
Gari alilokywa abate mbele and ni la serikali na liko sawa na magari ya mawaziri
Hata Mbowe Gari alikokuwa anatumia 2015 mpaka 2020 lilikuwa la Bunge. Lilitolewa na serikali
Acha kudanganya watu wewe, kama lingekuwa la serikali angelidai Sasa kuwa arudishiwe gari lake?
Mnadhimu wa upinzani Hana stahili ya usafiri
 
Mahojiano hayo nimesikiliza na hakuna mahali ametamka SENTENSI hiyo kwenye title. Najua ninachokisema. Unachukua maneno unaungaunga upate maana unayotaka wewe halafu unamlisha mtu, decency iko wapi?
Nimemsikia binafsi clouds,

Mimi Si Mwanasiasa, Sina uongo ndani yangu,

Ni Bora kuamini kuliko kutoamini.
 
Lissu ana pesa gani? Hizo ni ruzuku za serikali na pesa za join the chain
Humjui Lissu wewe mtoto mdogo. Lissu no mwanasheria mkongwe na amefanya kazi za ndani Hadi nje ya nchi hawezi kuwa na umasikini huo mlionao Wana ccm mtegemeao wizi na rushwa
 
Back
Top Bottom