Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Wewe huelewi hata hoja tunaposema Serikali ibane matumizi. Tunaongelea pesa ya umma, siyo ya mtu binafsi.
Pesa ya umma ni pesa yangu, ni pesa yako, ni pesa ya kila raia kupitia kodi tunazokatwa. Hii pesa inatakiwa itumike zaidi katika kuleta ustawi wa watu wote, hasa watu maskini.
Sasa hiyo gari ya Lisu, wewe una pesa yako hapo?