Imekaaje Tundu Lissu kudai gari yake ni V8 ya kisasa ila anaitaka Serikali ibane matumizi?

Wewe huelewi hata hoja tunaposema Serikali ibane matumizi. Tunaongelea pesa ya umma, siyo ya mtu binafsi.

Pesa ya umma ni pesa yangu, ni pesa yako, ni pesa ya kila raia kupitia kodi tunazokatwa. Hii pesa inatakiwa itumike zaidi katika kuleta ustawi wa watu wote, hasa watu maskini.

Sasa hiyo gari ya Lisu, wewe una pesa yako hapo?
 
Mjinga wewe, Gari ka Lissu alipewa na serikali Ksma kiongozi wa upinzani bungeni.
Gari alilokywa abate mbele and ni la serikali na liko sawa na magari ya mawaziri
Alipewa lini? Kama Lissu alikuwa kiongozi wa upinzani bungeni Mbowe alikuwa nani vile?
 
Mjinga wewe, Gari ka Lissu alipewa na serikali Ksma kiongozi wa upinzani bungeni.
Gari alilokywa abate mbele and ni la serikali na liko sawa na magari ya mawaziri
Hata Mbowe Gari alikokuwa anatumia 2015 mpaka 2020 lilikuwa la Bunge. Lilitolewa na serikali
He hv kumbe Lisu alikuwa KUB!

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Lissu amesema hayo, fuatilia mahojiano clouds.

Tusiwe na mahaba kupitiliza Kwa vyama vya upinzani, wananchi tunatakiwa tuvidhibiti.

Wananchi tumekuwa tukipinga viongozi kutumia magari ya ml 500 wakati wajawazito hawana pa kujifungulia vijijini.

KATIBA mpya tunayoiandika tuhakikishe inaielekeza Serikali kutumia magari ya Bei himilivu,

Hii ni Nchi maskini.

Aamen.
Wewe nawe ndio una hoja sawa, lakini haihusishi mali binafsi. Lissu, Mwigulu hata wewe mnayo haki kutumia gari ya aina yeyote lakini magari ya serikali ndiyo yanapaswa kwenda na hali halisi ya uchumi wa nchi.
 
Wewe huelewi hata hoja tunaposema Serikali ibane matumizi. Tunaongelea pesa ya umma, siyo ya mtu binafsi.

Pesa ya umma ni pesa yangu, ni pesa yako, ni pesa ya kila raia kupitia kodi tunazokatwa. Hii pesa inatakiwa itumike zaidi katika kuleta ustawi wa watu wote, hasa watu maskini.

Sasa hiyo gari ya Lisu, wewe una pesa yako hapo?
Lissu kapata wapi pesa ya kununua V8?
Hamna hoja. Hivi si unaongelea gari ambalo liko polisi mpaka leo limejaa matundu ya risasi, si ndiyo?

Hilo gari ndiyo unataka umuadhibie kwenye sanduku la kura siyo?
Tutamuadhibu kwa maneno yake ya kinafiki na usanii
 
Wewe nawe ndio una hoja sawa, lakini haihusishi mali binafsi. Lissu, Mwigulu hata wewe mnayo haki kutumia gari ya aina yeyote lakini magari ya serikali ndiyo yanapaswa kwenda na hali halisi ya uchumi wa nchi.
Kasema nani hayo maneno?
 
Sawa.Turud kweny mada
OK, naungana na wanaosema lisu hajatumia pesa ya umma kununua hiyo gari inayosemekana ni ya gharama kubwa!
Haya ni mambo binafsi ambayo sioni haja ya kumpangia mtu binafsi kutumia mali zake binafsi..

Nadhani tuko pamoja mkuu
 
Lissu kasema gari lake- hakusema gari la kupewa- mkuu baki njia kuu acha kuchepuka
Nionyeshe kwenye video hapo aliposema gari lake "NI" V8 ya kisasa. Mwenyewe umekubali kuwa ni gari hilo lililopigwa risasi kwa hivyo hawezi kutumia maneno "gari lake NI" akizungumzia habari ya siku za nyuma kwa gari ambalo HANA. Unajua ukimquote kwa jinsi alivyosema, hoja yako inapotea ndiyo maana unaungaunga tu. Alisema gari hizo za serikali zina fridge katikati. Alisema kwa ujumla wake, usifanye watu wajinga.

Hamna hoja unajisumbua tu bure.
 
Anapata wapi ujasiri wa kusema haya kwa majority ambao hata Afu tatu tu ya kununua mchele ni taabu.
Nilikua nakuheshimu pia na sikujua kama nakosea ila sasa nimtambua makosa yangu
 
OK, naungana na wanaosema lisu hajatumia pesa ya umma kununua hiyo gari inayosemekana ni ya gharama kubwa!
Haya ni mambo binafsi ambayo sioni haja ya kumpangia mtu binafsi kutumia mali zake binafsi..

Nadhani tuko pamoja mkuu
Huwezi kuhubiri watu waache anasa wakati wewe unafanya anasa- huo ni uchawi na hilo ndilo hatutaki
 
Kwa hiyo unatutisha tusijadili maneno ya kizushi ya Lissu siyo?
Kwa akili yako unadhani mimi naweza kukuzuia kupiga propaganda mfu kutetea cha kwenu..?

HAPANA. Siwezi..!

Isipokuwa naweza kukuambia NENO moja tu, kwamba, moto wa Tundu Lissu is far beyond your imagination..

Kama risasi 37 zilishindwa kummaliza, sembuse propaganda zenu mfu hizi??
 
OK, naungana na wanaosema lisu hajatumia pesa ya umma kununua hiyo gari inayosemekana ni ya gharama kubwa!
Haya ni mambo binafsi ambayo sioni haja ya kumpangia mtu binafsi kutumia mali zake binafsi..

Nadhani tuko pamoja mkuu
Kununua gari za kifahar kwa kipato chao ni sawa ila kutumia gari ulilopewa na serikal alaf unakuja kusema serikal sio sawa kununua magar ya garama ni upotofu.

Kama ni kwel hilo swal linawauma ili bidi wayauze hayo magar kisha wanunue yale wanayohisi ni sawa,pesa itakayo baki waipelek kweny maendeleo ya wanachi.Kwakufanya hivi tungeona kweli wanania ya dhati kusaidia wananchi,ila sio hiz sias za maneno matupu.
 
Lissu amesema hayo, fuatilia mahojiano clouds.

Tusiwe na mahaba kupitiliza Kwa vyama vya upinzani, wananchi tunatakiwa tuvidhibiti.

Wananchi tumekuwa tukipinga viongozi kutumia magari ya ml 500 wakati wajawazito hawana pa kujifungulia vijijini.

KATIBA mpya tunayoiandika tuhakikishe inaielekeza Serikali kutumia magari ya Bei himilivu,

Hii ni Nchi maskini.

Aamen.
Amenunua kwa hela za nani hilo gari?
 
Kununua gari za kifahar kwa kipato chao ni sawa ila kutumia gari ulilopewa na serikal alaf unakuja kusema serikal sio sawa kununua magar ya garama ni upotofu.

Kama ni kwel hilo swal linawauma ili bidi wayauze hayo magar kisha wanunue yale wanayohisi ni sawa,pesa itakayo baki waipelek kweny maendeleo ya wanachi.Kwakufanya hivi tungeona kweli wanania ya dhati kusaidia wananchi,ila sio hiz sias za maneno matupu.
Hivi comte na shabanmbarak ni mtu mmoja ila ID mbili tofauti au, nauliza tu?
 
Nyie Chadema ni Matutusa sana

Tundu Lisu alikuwa anahojiwa na mtangazaji Kija wa Clouds tv ambaye ni kada wa CCM na Kiongozi wa UWT ambaye ameshagombea ubunge mara kadhaa

Ingia Clouds Media umsikilize alivyokaangwa na makada wa CCM
Nilitazama na kusikiliza kabla yako..!

Unadhani, nani anaweza kuwazuia kupiga propaganda zenu mfu..?

Huwezi kuwazuia ndege kuruka juu ya kichwa ila unaweza kuwazuia wasijenge kiota kwenye kichwa chako..!

Tunachotofautiana ni katika kufanya choices. Umechagua kuzusha na kusema uongo. Endeleeni lakini huwezi kujenga viota kwenye vichwa vyetu..
 
Back
Top Bottom