Si kweli maana mkataba wao uliisha mwaka jana na Ukraine ilikataa kusaini mkataba mwingine.Huo ni utoto, Russia yenyewe inapitisha mafuta Ukraine kwenda Ulaya
Ukraine imehishimu mkataba hata katika wakati wote wa uvamizi, kwa nini sisi tusiheshimu makubaliano na majirani zetu??Si kweli maana mkataba wao uliisha mwaka jana na Ukraine ilikataa kusaini mkataba mwingine.
Alafu pia sio lazima sisi tuwaige Ukraine na Urusi katika kutetea masilahi yetu.
Acha kuleta siasa sehemu isiyohutaji siasaAcha iwe,
Ni mwanzo wa ccm kulaaaniwa ni Mungu, siasa za hovyo za kutekana, kumwagana damu, kutengenezeana kesi za mchongo n.k
Kwa nini tusifike huku, mataifa yaitenge Tanzania haraka sana
Kenya wanatafuta umaarufu tu sema hawawezi vumilia kibano tutachowapaKuna mtu anaweza kuelezea sababu za magari ya Kenya kutoka Malawi yanayopitia Tanzania kutaabishwa katika mipaka yetu kutokana na mgogoro wetu na Malawi?
View attachment 3314802
Sheria za Kimataifa zinatakaza cargo ambayo ipo on transit kuzuiliwa. Hapo tanzania ina makosa makubwa na inakuza mgogoro bila sababu za msingi. Mtu amesema hataki mchele wako unamlazimishaje ale mche wako? Malawi wamesema hawataki kula Super Kyela wanatak kula Kitumbo kutoka Thailand na India.Siumesha ambiwa kuwa bidhaa za kilimo za malawi haziruhusiwi hata kupita kwenye ardhi ya Tz kwenda nchi nyingine?
Kilichosababisha hili siyo siasa?Acha kuleta siasa sehemu isiyohutaji siasa
Wacha kuzungumzia usichoelewa.Kuanzia Tarehe 1 Januari 2025 Ukraine ilisimamisha gas kutoka Russia kupitia Ukraine baada ya Mkataba kati ya kampuni ya Gazrom ya Russia na Naftohoz ya Ukraine wa mwaka 2019 kumalizika.Wasingeweza kuzuia kabla kwa sababu kulikuwa na MkatabaHuo ni utoto, Russia yenyewe inapitisha mafuta Ukraine kwenda Ulaya
Kwani nani alianza kuzuia bidhaa za mwenzake? Usije ukawa mnyasa in disguise!.Pia usiingize siasa za ndani kwenye mambo yanayohusu maslahi ya Taifa.Ukraine imehishimu mkataba hata katika wakati wote wa uvamizi, kwa nini sisi tusiheshimu makubaliano na majirani zetu??
Sisi hatuna makubaliono yoyote ya kibiashara na Malawi yanayohusu usafirishaji wa bidhaa zao katika mipaka yetu?Wacha kuzungumzia usichoelewa.Kuanzia Tarehe 1 Januari 2025 Ukraine ilisimamisha gas kutoka Russia kupitia Ukraine baada ya Mkataba kati ya kampuni ya Gazrom ya Russia na Naftohoz ya Ukraine wa mwaka 2019 kumalizika.Wasingeweza kuzuia kabla kwa sababu kulikuwa na Mkataba
Sasa aliyeanza kuvunja makubaliano ni nani?Au umerukia tu bila kujua chanzo cha mgogoro?Sisi hatuna makubaliono yoyote ya kibiashara na Malawi yanayohusu usafirishaji wa bidhaa zao katika mipaka yetu?
Mantiki ya hoja yako ni ya kijinga haswa.Nchi izuie wewe kuingiza bidhaa zako kwake halafu wewe uruhusu wapitishe bidhaa zao kwako ni reasoning ya kitoto. Una base ulipoangukia na sipo ulipojikwaa. Tafuta chanzo cha mgogoro na acha udhaifu.Makubaliano ya Malawi kununua bidhaa zetu ni tofauti na wao kupita au kupitisha vitu katika mipaka yetu.
Ni sawa kumzuia jirani yako kupita eneo la uwanja wako ambalo amekuwa anapita siku zote kisa tu amesitisha kununua vitumbua vyako ulivyokuwa unauza akaanza kupika vya kwake mwenyewe ?Mantiki ya hoja yako ni ya kijinga haswa.Nchi izuie wewe kuingiza bidhaa zako kwake halafu wewe uruhusu wapitishe bidhaa zao kwako ni reasoning ya kitoto. Una base ulipoangukia na sipo ulipojikwaa. Tafuta chanzo cha mgogoro na acha udhaifu.