MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Hii itawapa somo kubwa Malawi na Wamalawi.
Kivipi?
Kama Malawi imejitosheleza kwa chakula basi hakukuhitajika government intervention bali mahindi na Mchele wa Tanzania ungekosa soko.
Ila alichofanya ni kulazimisha kumlinda soko lake la ndani kwa sera za protectionism.
Ila hapo hapo serikari Yao, inanunua mahindi na WFP inanunua vile vile kwa ajili ya janga la njaa kwao.
Hivyo uhitaji wanao ila hii mingese ilitaka ilete fitna zisizo na kichwa wala miguu.