Imekuaje Kenya kuingizwa katika Mgogoro wa Tanzania na Malaw?!

Imekuaje Kenya kuingizwa katika Mgogoro wa Tanzania na Malaw?!

Mrusi baada ya kuwekewa vikwazo alitafuta njia mbadala, Malawi umeshampa optional ya kutumia bandari nyingine. Taifa linaenda kupoteza mapato ya bandari na pia walikuwa wakisafirisha magari na mafuta wanaenda kupoteza mapato.
Ukishampoteza Malawi kwenye bandari huwezi kumpata Tena.
Anaenda kutumia mbadala gani chief?
 
Technological
Analysis yako ni butu na inaonesha unaipendelea China kwasababu ya chuki zako kwa Trump,nadhani ni baada ya wahamiaji haramu(Hasa Weusi may be ukiwemo wewe) kuanza kupigwa vita na utawala wa Trump.

Eti, watu ukiwabana basi watatafuta Alternative. Kwahiyo unadhani China ndio atatafuta Alternative peke yake halafu Marekani haitatafuta Alternative?
Ungelikuwa Mchambuzi mzuri usingeliegemea upande wa China kwa Chuki zako dhidi ya Trump, badala yake ungelielezea hiyo Alternative ambayo China ataitafuta na Alternative ambayo Marekani ataitafuta ili sisi wengine tuchambue ni Alternative ipi itakuwa rahisi kufikiwa na either China au Marekani.
 
Analysis yako ni butu na inaonesha unaipendelea China kwasababu ya chuki zako kwa Trump,nadhani ni baada ya wahamiaji haramu(Hasa Weusi may be ukiwemo wewe) kuanza kupigwa vita na utawala wa Trump.
Wewe kama Trump unamjua leo ni wewe ingawa Trump is bad for USA; Marekani amekuwa akifaidika duniani kwa Imperialism na soft colonialism; na amekuwa akiendelea hivyo kwa kutumia akili ya kula na vipofu; Trump amekuja kaharibu hilo kaanza kuwapiga ma Tariff mpaka jirani zake Canada (it does not make economic sense zaidi ya kuwaridhisha wapiga kura wake / short term gain) Canada akaanza kutafuta masoko mengine ya bidhaa zake ambazo hazipo; USA na Dollar yake imekuwa ndio ikionekana stable na ya uhakika ila hizi sarakasi zinapelekea watu kuanza ku question authenticity na hekima za USA; Case in point unajua USA ananufaika vipi na Dollar kuwa currency ya dunia

Eti, watu ukiwabana basi watatafuta Alternative. Kwahiyo unadhani China ndio atatafuta Alternative peke yake halafu Marekani haitatafuta Alternative?
Unaongelea USA kutafuta alternative vipi wakati yeye ndio kaanza hizi bangi za Tariff kwa udanganyifu kwamba viwanda virudi USA ?, Ukiwabana China ili Apple asitegemee China atakwenda India na Vietnam (cost of production ni ndogo) ; Pia ukiendelea kuwabana watu kwa story za kutunga wataanza kuangalia ukweli kwamba na wewe una monopoly kwenye financial na technological products, kwahio watapunguza kuchukua kwako.., China alibanwa kwa kutokuuziwa Chip akatumia kwa uchache matokeo yake akaja na product cheaper na better kuliko hao wa USA ambao wana abundance za hizo resources (Huenda usingewabana wangeendelea kununua kutoka kwako na wao kujikita kwenye mengine)
Ungelikuwa Mchambuzi mzuri usingeliegemea upande wa China kwa Chuki zako dhidi ya Trump, badala yake ungelielezea hiyo Alternative ambayo China ataitafuta na Alternative ambayo Marekani ataitafuta ili sisi wengine tuchambue ni Alternative ipi itakuwa rahisi kufikiwa na either China au Marekani.
Hayo ya uchambuzi uzuri ni ya kwako (mimi sijasema ni mchambuzi) the facts are out there for anyone to see, kwahio ni mtu kujipakulia
 
Back
Top Bottom