Imekuaje Kenya kuingizwa katika Mgogoro wa Tanzania na Malaw?!

It's a maxim of every prudent master of a family never to try to make at home what it will cost him more to make than to buy...; Haya mambo yalifanyika sana duniani hapo kale to the detriment ya dunia nzima...

By the way mizigo inapopita kwetu transit (sisi hatunufaiki ?, Si ndio biashara hio tunafanya )?!!!

International Trade is not a Zero Sum Game....

Bashe should be fired, haelewi anachokifanya.
 
Ni siasa kwenye mambo ya msingi (moja anapata cheap popularity kwamba ni mbabe na nchi ni ya kibabe hatutishiwi nyau); mbili ikifanya kazi administration nzima itajisifia politically, ikifeli atatolewa mbuzi wa kafara kwamba alichemka....

All in all wote tunapoteza, mwenzako akimwaga mboga usimwage ugali, tafuta kachumbari ulie ugali wako (pili simba mwenda pole ndio mla nyama) hata ukiwabana watu unawabana kimya kimya hakuna sababu ya kupaza sauti zaidi ya faida ya short term political mileage...
 
Ni sawa kumzuia jirani yako kupita eneo la uwanja wako ambalo amekuwa anapita siku zote kisa tu amesitisha kununua vitumbua vyako ulivyokuwa unauza akaanza kupika vya kwake mwenyewe ?
SADC ni nini na imeundwa kwa minajili gani itakusaidia kujua zaidi kuhusu mgogoro wa kibiashara kati ya Tanzania na Malawi.
Mfano wako wa vitumbua ni ushahidi ulivyo mtupu kuhusu kujibu hoja.Kwenye kila makubaliano kuna haki na wajibu.Huwezi kuzuia kwako halafu ukategemea huwezi kuzuiliwa.You cannot eat your cake and have it too.You cannot have it both ways.
 
Duh kwa hivyo mumeamua kuvuruga kote, huko SADC na EAC, maana nilisoma sehemu mumeliamsha na Afrika Kusini na Malawi, sasa mnachokonoa Kenya, niliona video nyingine sijui na DRC pia pale mpakani mna mtanange fulani.
Haya hongereni watemi wazee wa malumbano.
 
Sheria za Kimataifa zinatakaza cargo ambayo ipo on transit kuzuiliwa. Hapo tanzania ina makosa makubwa na inakuza mgogoro bila sababu za msingi. Mtu amesema hataki mchele wako unamlazimishaje ale mche wako? Malawi wamesema hawataki kula Super Kyela wanatak kula Kitumbo kutoka Thailand na India.
Kama malawi ana haki ya kuukataa mchele wetu kwa nini sisi tusiwe na haki ya kukataa yeye kutumia miundo mbinu yetu tuliyo ijenga kwa kodi zetu?
 
Ni sawa kumzuia jirani yako kupita eneo la uwanja wako ambalo amekuwa anapita siku zote kisa tu amesitisha kununua vitumbua vyako ulivyokuwa unauza akaanza kupika vya kwake mwenyewe ?
Ninaweza kumkataza kwa sababu hilo ni eneo langu na hakunisaidia kulinunua.
 
Ni siasa kwenye mambo ya msingi (moja anapata cheap popularity kwamba ni mbabe na nchi ni ya kibabe hatutishiwi nyau); mbili ikifanya kazi administration nzima itajisifia politically, ikifeli atatolewa mbuzi wa kafara kwamba alichemka....

All in all wote tunapoteza, mwenzako akimwaga mboga usimwage ugali, tafuta kachumbari ulie ugali wako (pili simba mwenda pole ndio mla nyama) hata ukiwabana watu unawabana kimya kimya hakuna sababu ya kupaza sauti zaidi ya faida ya short term political mileage...
Vipi china isinge amuwa kula satanic moja na Trump nini kingetokea kwa china?
 
Wala China hali sahani moja sambamba na Trump na anachofanya ni simba mwenda pole huyu anapiga piga kelele na politics yeye anajitahidi kukaa mezani na kutafuta mbinu za kuacha utagemezi..

Kwanza USA / Trump ni Muongo ingawa China anauza sana bidhaa za kawaida USA anauza sana Financial and Technological products kwa dunia (ila hilo mpiga siasa Trump hataki kuliongelea) sababu sio chakula anachotaka kuwapakulia wateja wake....

Na mwisho wa siku ni Trump / USA ndio mpotezaji watu ukiwabana wanatafuta alternative...
 
Kazi iendelee.

Kuna njia ya anga
Nairobi mpaka Lilongwe.

Kuna njia ya maji
Una pita bahari ya hindi, Msumbiji, Malawi.

Kuna njia ya ardhini
Unapita Uganda, Rwanda, DRC, Zambia, Malawi.

Kupanga ni kuchagua.

USA v CHINA mpaka wakapata suluhu.

Kenya v Tanzania walipata suluhu kuanzia biashara ya mazao na maswala ya anga

Uganda v Tanzania
Raia wa Uganda walikuwa wanamwambia Rais afungie uingizwaji wa bidhaa toka Tz, Rais mseveni aliwajibu kuwa hawezi kwa kuwa kufanya hivyo kutapelekea na wao kufungia za kwetu

Akaenda mbali, kama mnaona bidhaa za Tanzania ni bei rahisi basi punguzeni bei ili watu wasiagize bidhaa toka Tanzania au Tanzania ikose soko kwa sababu ya bei kuwa sio rafiki na sio kufungia au kuzuia
Museveni ni kichwa...

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ni sawa kumzuia jirani yako kupita eneo la uwanja wako ambalo amekuwa anapita siku zote kisa tu amesitisha kununua vitumbua vyako ulivyokuwa unauza akaanza kupika vya kwake mwenyewe ?
Vikwazo vya kiuchumi.

Kila nchi ilinde maslahi yake.
 
Ni sawa kumzuia jirani yako kupita eneo la uwanja wako ambalo amekuwa anapita siku zote kisa tu amesitisha kununua vitumbua vyako ulivyokuwa unauza akaanza kupika vya kwake mwenyewe ?
Ni sawa.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Vipi china isinge amuwa kula satanic moja na Trump nini kingetokea kwa china?
Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa, Trump hana bidhaa nchini kwake na anataka kuvuna pesa za Wachina kwa tarrifs, China haijazuia biashara, imeweka tarrifs.
 
SADC ni nini na imeundwa kwa minajili gani itakusaidia kujua zaidi kuhusu mgogoro wa kibiashara kati ya Tanzania na Malawi.
Mfano wako wa vitumbua ni ushahidi ulivyo mtupu kuhusu kujibu hoja.Kwenye kila makubaliano kuna haki na wajibu.Huwezi kuzuia kwako halafu ukategemea huwezi kuzuiliwa.You cannot eat your cake and have it too.You cannot have it both ways.
Kwa hiyo kwa sababu Malawi wametuzuia kuuza ndizi, ubwabwa na nyanya kwao na sisi ndio tuharibu hata mahusiano yetu na Kenya kwa sababu tu wanafanya biashara na Malawi??
 
Back
Top Bottom