Bashe should be fired, haelewi anachokifanya.It's a maxim of every prudent master of a family never to try to make at home what it will cost him more to make than to buy...; Haya mambo yalifanyika sana duniani hapo kale to the detriment ya dunia nzima...
By the way mizigo inapopita kwetu transit (sisi hatunufaiki ?, Si ndio biashara hio tunafanya )?!!!
International Trade is not a Zero Sum Game....
Nataka kuwapiga Tariff Mangi (Dukani) na Dada Poa; Nimegundua Nanunua sana kwao kuliko wao Kwangu
Ni kama utani ila ukiangalia ndicho kinachotokea sasa; dunia imeanza ku-equate International Trade kama ni Zero Sum Game yaani Pesa nilizotumia kununua bidhaa zako dhidi ya pesa ulizotumia kununua bidhaa zangu na sio faida gani nimepata kwenye uhusiano wetu... Ni kweli dada poa hajawahi kunipa...www.jamiiforums.com
Ni siasa kwenye mambo ya msingi (moja anapata cheap popularity kwamba ni mbabe na nchi ni ya kibabe hatutishiwi nyau); mbili ikifanya kazi administration nzima itajisifia politically, ikifeli atatolewa mbuzi wa kafara kwamba alichemka....Bashe should be fired, haelewi anachokifanya.
SADC ni nini na imeundwa kwa minajili gani itakusaidia kujua zaidi kuhusu mgogoro wa kibiashara kati ya Tanzania na Malawi.Ni sawa kumzuia jirani yako kupita eneo la uwanja wako ambalo amekuwa anapita siku zote kisa tu amesitisha kununua vitumbua vyako ulivyokuwa unauza akaanza kupika vya kwake mwenyewe ?
Kama malawi ana haki ya kuukataa mchele wetu kwa nini sisi tusiwe na haki ya kukataa yeye kutumia miundo mbinu yetu tuliyo ijenga kwa kodi zetu?Sheria za Kimataifa zinatakaza cargo ambayo ipo on transit kuzuiliwa. Hapo tanzania ina makosa makubwa na inakuza mgogoro bila sababu za msingi. Mtu amesema hataki mchele wako unamlazimishaje ale mche wako? Malawi wamesema hawataki kula Super Kyela wanatak kula Kitumbo kutoka Thailand na India.
Ninaweza kumkataza kwa sababu hilo ni eneo langu na hakunisaidia kulinunua.Ni sawa kumzuia jirani yako kupita eneo la uwanja wako ambalo amekuwa anapita siku zote kisa tu amesitisha kununua vitumbua vyako ulivyokuwa unauza akaanza kupika vya kwake mwenyewe ?
Vipi china isinge amuwa kula satanic moja na Trump nini kingetokea kwa china?Ni siasa kwenye mambo ya msingi (moja anapata cheap popularity kwamba ni mbabe na nchi ni ya kibabe hatutishiwi nyau); mbili ikifanya kazi administration nzima itajisifia politically, ikifeli atatolewa mbuzi wa kafara kwamba alichemka....
All in all wote tunapoteza, mwenzako akimwaga mboga usimwage ugali, tafuta kachumbari ulie ugali wako (pili simba mwenda pole ndio mla nyama) hata ukiwabana watu unawabana kimya kimya hakuna sababu ya kupaza sauti zaidi ya faida ya short term political mileage...
Tupe sababuKwenye huu mgogoro Tanzania tumechemka.
Wala China hali sahani moja sambamba na Trump na anachofanya ni simba mwenda pole huyu anapiga piga kelele na politics yeye anajitahidi kukaa mezani na kutafuta mbinu za kuacha utagemezi..Vipi china isinge amuwa kula satanic moja na Trump nini kingetokea kwa china?
Mafuta yapi?Huo ni utoto, Russia yenyewe inapitisha mafuta Ukraine kwenda Ulaya
Hivi vinchi vya Malawi na Zambia ni vijeuri sana.Makubaliano ya Malawi kununua bidhaa zetu ni tofauti na wao kupita au kupitisha vitu katika mipaka yetu.
Museveni ni kichwa...Kazi iendelee.
Kuna njia ya anga
Nairobi mpaka Lilongwe.
Kuna njia ya maji
Una pita bahari ya hindi, Msumbiji, Malawi.
Kuna njia ya ardhini
Unapita Uganda, Rwanda, DRC, Zambia, Malawi.
Kupanga ni kuchagua.
USA v CHINA mpaka wakapata suluhu.
Kenya v Tanzania walipata suluhu kuanzia biashara ya mazao na maswala ya anga
Uganda v Tanzania
Raia wa Uganda walikuwa wanamwambia Rais afungie uingizwaji wa bidhaa toka Tz, Rais mseveni aliwajibu kuwa hawezi kwa kuwa kufanya hivyo kutapelekea na wao kufungia za kwetu
Akaenda mbali, kama mnaona bidhaa za Tanzania ni bei rahisi basi punguzeni bei ili watu wasiagize bidhaa toka Tanzania au Tanzania ikose soko kwa sababu ya bei kuwa sio rafiki na sio kufungia au kuzuia
Makubaliano unayo hapo unitumie niyapitie?Ukraine imehishimu mkataba hata katika wakati wote wa uvamizi, kwa nini sisi tusiheshimu makubaliano na majirani zetu??
Vikwazo vya kiuchumi.Ni sawa kumzuia jirani yako kupita eneo la uwanja wako ambalo amekuwa anapita siku zote kisa tu amesitisha kununua vitumbua vyako ulivyokuwa unauza akaanza kupika vya kwake mwenyewe ?
Ni sawa.Ni sawa kumzuia jirani yako kupita eneo la uwanja wako ambalo amekuwa anapita siku zote kisa tu amesitisha kununua vitumbua vyako ulivyokuwa unauza akaanza kupika vya kwake mwenyewe ?
Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa, Trump hana bidhaa nchini kwake na anataka kuvuna pesa za Wachina kwa tarrifs, China haijazuia biashara, imeweka tarrifs.Vipi china isinge amuwa kula satanic moja na Trump nini kingetokea kwa china?
Kwa hiyo kwa sababu Malawi wametuzuia kuuza ndizi, ubwabwa na nyanya kwao na sisi ndio tuharibu hata mahusiano yetu na Kenya kwa sababu tu wanafanya biashara na Malawi??SADC ni nini na imeundwa kwa minajili gani itakusaidia kujua zaidi kuhusu mgogoro wa kibiashara kati ya Tanzania na Malawi.
Mfano wako wa vitumbua ni ushahidi ulivyo mtupu kuhusu kujibu hoja.Kwenye kila makubaliano kuna haki na wajibu.Huwezi kuzuia kwako halafu ukategemea huwezi kuzuiliwa.You cannot eat your cake and have it too.You cannot have it both ways.