MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Demokrasia kwenye umasikini?Napenda demokrasia yao inayokua.
Hamia huko.Dundee United.Napenda demokrasia yao inayokua.
Kwa sababu ya nchi kama Malawi, Zambia, Msumbiji, Comoro, Kongo, Burundi, Rwanda uraia pacha kwa Tanzania ni kuiweka nchi na usalama wake rehani.Tunahitaji uraia pacha, bado nina ndugu Tz.
Tanzania ni Taifa la 09 au 10 kwa Uchumi mkubwa Afrika.Mbona nyie hamna demokrasia na umaskini mnao!
Dunia Haina usawaHuu mgogoro ulitakiwa ushugulikiwe vizuri Toka mwanzo, Ila kuachiwa kilaza mmoja ashugulikie hayo ndio matokeo yake.
Malawi Kama nchi Ina haki ya kuamua Nini kiingie na Nini kisiingie, tumewahi kuzuia sukari ya Malawi ili kulinda viwanda vya ndani lakini hatukusikia malalamikoo yoyote Toka Malawi kwanini tumezuia sukari yao.
Tumewahi kuzuia vyaku vyakula Kama mahindi yasiuzwe nje ya Tanzania lakini hatukupata malalamikoo yoyote.
Uongozi wa nchi hii ni kansa inayotafuna nchi.
Ni sawa tu na mwenye daraja D akimcheka mwenye daraja F.
D ni passNi sawa tu na mwenye daraja D akimcheka mwenye daraja F.
Duh kwa hivyo mumeamua kuvuruga kote, huko SADC na EAC, maana nilisoma sehemu mumeliamsha na Afrika Kusini na Malawi, sasa mnachokonoa Kenya, niliona video nyingine sijui na DRC pia pale mpakani mna mtanange fulani.
Haya hongereni watemi wazee wa malumbano.
Vizuri sana bado kidogo tu uovu wa waamori ccm unaenda kutimia na Mungu kushusha kipigo kitakatifuAcha iwe,
Ni mwanzo wa ccm kulaaaniwa ni Mungu, siasa za hovyo za kutekana, kumwagana damu, kutengenezeana kesi za mchongo n.k
Kwa nini tusifike huku, mataifa yaitenge Tanzania haraka sana
Nilikwambia weeh mgalatia ni bogus ona sasa ndo unasema je hivi..?..sasa njia weeh umeona ni bara bara ili wao wafanye biashara zao?na ilhali serikali ishapiga marufuku mpk njia?Kuna mtu anaweza kuelezea sababu za magari ya Kenya kutoka Malawi yanayopitia Tanzania kutaabishwa katika mipaka yetu kutokana na mgogoro wetu na Malawi?
View attachment 3314802
Mrusi baada ya kuwekewa vikwazo alitafuta njia mbadala, Malawi umeshampa optional ya kutumia bandari nyingine. Taifa linaenda kupoteza mapato ya bandari na pia walikuwa wakisafirisha magari na mafuta wanaenda kupoteza mapato.Dunia Haina usawa
Marekani anamvimbia mchina
Mrusi anamvimbia Myukrein
Mtanzania vs Malawi
Ukiwa mdogo utulie tu
Ukileta za kuleta ndio kinacho mkuta malawi
hapo ndio utashangaa kuwa hawa wakenya akili yao ni kisodaSiumesha ambiwa kuwa bidhaa za kilimo za malawi haziruhusiwi hata kupita kwenye ardhi ya Tz kwenda nchi nyingine?
Sasa pitisha na wew viungo vyako vya uzazi Kisutu siku ya kes ya Tundu LissuHuo ni utoto, Russia yenyewe inapitisha mafuta Ukraine kwenda Ulaya
kama ndio njia ya kwenda kununua unga wa vitumbua duka lingine wakati mimi pia nauza unga wa vitumbua ni sawa kabisNi sawa kumzuia jirani yako kupita eneo la uwanja wako ambalo amekuwa anapita siku zote kisa tu amesitisha kununua vitumbua vyako ulivyokuwa unauza akaanza kupika vya kwake mwenyewe ?