Africa kudanganganya umri kawaida, nina rafk yangu alikua mbao fc U20 wakati huo mimi na miaka 23 na tulivokuwa shule alikua anasema ananizidi mwaka mmoja shangaa hapo!! Africa tuachane na mambo ya umri hatuwezani nayo
Mkude kwa miaka 10 kacheza vizuri pale Simba. Kama kadanganya kwenye umri ni miaka 2 tuu.
Ajibu katika maisha yake ya soka msimu ule mmoja tuu aliocheza yanga ndio ulikuwa msimu bora kwake.
Mbona hii kawaida sana mimi kuna brother mtoto wa shangazi kanizidi kama miaka sita hivi lakini kutokana na mchezo wa mpira basi mimi ndio mkubwa kwake na nimempita miaka mitano.